MAKONDA KARIBU MTWARA ILA TUNATAKA MAJIBU JUU YA BEI YA KOROSHO

Matulanya Mputa

Senior Member
Aug 14, 2023
105
203
Kwanza kabisa tuipe pole familia ya mzee Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, pia pole kwa wa Tanzania kuondokewa na waziri mkuu mstafu.

Makonda nakuita mara tatu, bado nitasema mimi ni shemeji yako, licha ya ushemeji kesho unakuja nyumbani mkoa wa Mtwara.
Nitakukaangia korosho ambazo moja utaulizwa kuhusu bei yake, najua jibu utakuwa huna,utasingizia soko la dunia.
Chama chetu cha mapinduzi ni chama kikongwe lakini chama chetu iki kimeshindwa kuwasaidia au kutusaidia sisi wakulima wa korosho.

Alipokuja chief Hangaya mwaka jana alipoulizwa swali kuhusu bei ya korosho akasema "ZAO LA KOROSHO LINA MTU KATI WENGI".

Binafsi nikatafakari sana hadi alipoondoka watu wakasema kwahiyo raisi ameshindwa waondoa mtu kati hawa.
Nikatumia muda mwingi kutafakari mtu kati ni akina nani, nikakosa majibu,lakini badae nikatembea vijiweni na mikoroshoni nikasikia, kuwa hao ni madalali.

Nikauriza madalali hao wakina nani, akanidokeza mzee mmoja akataja team msoga nikashtuka,mara katelephone.
Sasa Makonda kesho nataka uoneshe waziwazi na utamke waziwazi watu ambao wanahujumu wakulima wa korosho, hakika ukifanya hivyo CCM 2025 uku mtazoa kura.

Manake chief Hangaya, hawezi au ameshindwa kugusa hao watu kati ambao madalali..
Alafu cha ajabu madalali hao ni watu wa uku kusini tena wapo kwenye maamuzi japo wengine walistafu lakini wanaendelea na udalali.

Ni mimi mtoto wa MWENYE MATULANYA MPUTA
MBUNGE WA LULINDI 2025
Email:maggierozaria@gmail.com
 
Makonda ana level za kuongea huko hawezi gusa,aliweza mwenda zake naye wahuni wakaenda kuzuia wafanyabiashara wasije kununua korosho,kimsingi zao la korosho ni kitega uchumi cha wahuni na wako serious sana kukilinda.
 
Kwani majaliwa yeye hana godown la korosho means ananunua pia ni mtu kati na yeye ama
 
Kiswadu ni atari pia miongoni mwa madalali ambao sahivi kaiva na kakomaa,tena miongoni mwa madali ambao hakutaka bandari ya Mtwara itumike kusafirishia korosho
 
Alafu madalali hao wakamshauri Chief Hangaya kuwa, vyama vya ushirika au AMKOS ni muhimu sana kwa wakulima.

Kumbe AMKOS au wazee wa stakabadhi garani,ni vyama vya madali.

Kwa bahati nzuri wananchi wameelewa na kuahidi mwaka huu wanauza korosho kwenye kangomba, labda madalali warudi kwa kina kangomba.
 
Kwanza kabisa tuipe pole familia ya mzee Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, pia pole kwa wa Tanzania kuondokewa na waziri mkuu mstafu.

Makonda nakuita mara tatu, bado nitasema mimi ni shemeji yako, licha ya ushemeji kesho unakuja nyumbani mkoa wa Mtwara.
Nitakukaangia korosho ambazo moja utaulizwa kuhusu bei yake, najua jibu utakuwa huna,utasingizia soko la dunia.
Chama chetu cha mapinduzi ni chama kikongwe lakini chama chetu iki kimeshindwa kuwasaidia au kutusaidia sisi wakulima wa korosho.

Alipokuja chief Hangaya mwaka jana alipoulizwa swali kuhusu bei ya korosho akasema "ZAO LA KOROSHO LINA MTU KATI WENGI".

Binafsi nikatafakari sana hadi alipoondoka watu wakasema kwahiyo raisi ameshindwa waondoa mtu kati hawa.
Nikatumia muda mwingi kutafakari mtu kati ni akina nani, nikakosa majibu,lakini badae nikatembea vijiweni na mikoroshoni nikasikia, kuwa hao ni madalali.

Nikauriza madalali hao wakina nani, akanidokeza mzee mmoja akataja team msoga nikashtuka,mara katelephone.
Sasa Makonda kesho nataka uoneshe waziwazi na utamke waziwazi watu ambao wanahujumu wakulima wa korosho, hakika ukifanya hivyo CCM 2025 uku mtazoa kura.

Manake chief Hangaya, hawezi au ameshindwa kugusa hao watu kati ambao madalali..
Alafu cha ajabu madalali hao ni watu wa uku kusini tena wapo kwenye maamuzi japo wengine walistafu lakini wanaendelea na udalali.

Ni mimi mtoto wa MWENYE MATULANYA MPUTA
MBUNGE WA LULINDI 2025
Email:maggierozaria@gmail.com
Wanangu wa Lindi na Mtwara msisahau ule moshi wetu mtakatifu kama ikiwezekana fanyeni finishing kabisa
 
Wanangu wa Kusini nawapendea hapo tu show zenu kimya kimya lakini zina kishindo,naona kazi yenu iliyotukuka,pamoko sana wanangu
 
Back
Top Bottom