Rais Samia atoa zawadi ya Tsh. Milioni 10 kwa Askofu Mollel, aagiza barabara iwekwe lami!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,977
141,986
Makamu wa Rais Dr. Mpango kwa niaba ya Rais Samia amemkabidhi Askofu mteule wa KKKT Kaskazini Kati Dr. Mollel tsh 10 mil kutumia kama atakavyoona inafaa kwenye Sherehe yake ya kuingizwa Kazini.

Aidha Dr Mpango kwa niaba ya Rais Samia ameagiza Tanroads Arusha wajenge kwa kiwango cha lami barabara ya kuelekea Kanisani hapo.

Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia.

Source: Upendo TV
 
Makamu wa Rais Dr Mpango kwa niaba ya Rais Samia amemkabidhi Askofu mteule wa KKKT Kaskazini Kati Dr Mollel tsh 10 mil kutumia kama atakavyoona inafaa kwenye Sherehe yake ya kuingizwa Kazini

Aidha Dr Mpango kwa niaba ya Rais Samia ameagiza Tanroads Arusha wajenge kwa kiwango cha Lami barabara ya kuelekea Kanisani hapo

Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia

Source Upendo TV
Kanisa lipi?

Haraka kuwahisha thread nayo ni uraibu kama uraibu wa kubeti au kutumia bangi
 
Unajitahidi kuleta habari!
Hongera, japo vimesemwa vingi!
Nilikuwa live, hivi amesema km 10 mil?
Au mi ndo sikusikia?
 
Uwe unasoma uzi kwa kutulia punguza mbege 🐼
Wewe ndo rudia kusoma ujumbe wako

"Kanisani hapo" wapi? Najua ulichotaka kuandika lkn shida haraka kuwa wa kwanza kuanzisha thread

Btw, Ibada pia nimeangalia live mwanzo mwisho
 
Makamu wa Rais Dr Mpango kwa niaba ya Rais Samia amemkabidhi Askofu mteule wa KKKT Kaskazini Kati Dr Mollel tsh 10 mil kutumia kama atakavyoona inafaa kwenye Sherehe yake ya kuingizwa Kazini

Aidha Dr Mpango kwa niaba ya Rais Samia ameagiza Tanroads Arusha wajenge kwa kiwango cha Lami barabara ya kuelekea Kanisani hapo

Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia

Source Upendo TV

Barabara ya kilometa ngapi?
 
Arusha kuna Dayosisi ngapi? Hii nayo iko eneo gani
 
Arusha Kati kwa Gambo na Kinana
Mbona lile kanisa lipo pembeni tu mwa lami au wanalo jingine
Screenshot_20240211_143917_Google Earth.jpg
 
Back
Top Bottom