CHADEMA ipewe hadhi sawa na CCM mazishi ya Lowassa

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA.

Dunia ilishuhudia ukomavu wa demokrasia Lowassa akiwa CHADEMA huku CCM ikipumulia mashine katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Faida ya yeye kugombea kuliimarisha CCM hata kuliko CHADEMA.

Kwa mantiki hiyo sitegemei CCM kujimilikisha mwili wa Lowassa. Tunategemea uongozi wa juu CHADEMA ukiongozwa na Freeman Mbowe ukipewa nafasi za mbele sawa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kutoa salamu.

Wasibaguliwe tena wapige gwanda zao za chama maana alikuwa ni mtu wao sawa na CCM. Kilichotokea kwa Bernard Membe kisijirudie Kwa Lowassa. Membe CCM ilikataa kufunika jeneza lake kwa bendera ya chama kisa tuvalikatwa mkia. ACT nao wakagoma kuleta bendera matokeo yake akafunikwa kwa bendera ya "Wagalatia" wa Kijitonyama.

Mwili wa Lowassa usijenge chuki na chokochoko anazoanza kuleta Mwenezi.
 
Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima Kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya Chadema.

Dunia ilishuhudia ukomavu wa demokrasia Lowassa akiwa Chadema huku CCM ikipumulia mashine katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Faida ya yeye kugombea kuliimarisha CCM hata kuliko Chadema.

Kwa mantiki hiyo sitegemei CCM kujimilikisha mwili wa Lowassa. Tunategemea uongozi wa juu Chadema ukiongozwa na Freeman Mbowe ukipewa nafasi za mbele sawa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kutoa salamu. Wasibaguliwe tena wapige gwanda zao za chama maana alikuwa ni mtu wao sawa na CCM. Kilichotokea kwa Bernard Membe kisijirudie Kwa Lowassa. Membe CCM ilikataa kufunika jeneza lake kwa bendera ya chama kisa tuvalikatwa mkia. ACT nao wakagoma kuleta bendera matokeo yake akafunikwa Kwa bendera ya "Wagalatia" wa Kijitonyama.

Mwili wa Lowassa usijenge chuki na chokochoko anazoanza kuleta Mwenezi.
Kweli hiki Chama kina wehu aisee,chadema si ndio walikuwa wanamtukana zaidi ya miaka nenda rudi
 
Atazikwa Kwa protocol za kiserikali.
Ratiba zitaanza tar 13, tar 14 ibada ya mazishi , kkkt Azania front!
 
Siasa za Msibani azikwe atakavyozikwa sidhani kama Big Deal.

Azikwe ili tuendelee na khamsini zetu za Maandamano ya kudai HAKI.
 
Chadema ni chama cha kudandia matukio!
Hii inajulikana wazi hivyo wananchi hawawashangai kwa hilo!
 
Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA.

Dunia ilishuhudia ukomavu wa demokrasia Lowassa akiwa CHADEMA huku CCM ikipumulia mashine katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Faida ya yeye kugombea kuliimarisha CCM hata kuliko CHADEMA.

Kwa mantiki hiyo sitegemei CCM kujimilikisha mwili wa Lowassa. Tunategemea uongozi wa juu CHADEMA ukiongozwa na Freeman Mbowe ukipewa nafasi za mbele sawa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kutoa salamu.

Wasibaguliwe tena wapige gwanda zao za chama maana alikuwa ni mtu wao sawa na CCM. Kilichotokea kwa Bernard Membe kisijirudie Kwa Lowassa. Membe CCM ilikataa kufunika jeneza lake kwa bendera ya chama kisa tuvalikatwa mkia. ACT nao wakagoma kuleta bendera matokeo yake akafunikwa kwa bendera ya "Wagalatia" wa Kijitonyama.

Mwili wa Lowassa usijenge chuki na chokochoko anazoanza kuleta Mwenezi.
1707655580473.png
 
Back
Top Bottom