Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani? Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Yaani kweli hii ndo wanaona issue ya msingi kwa Watanzania? Hawa watu wanalipwaje hizi kodi kufanya mambo ya hovyo kama haya? 📍Bungeni,Dodoma ▪️SERIKALI KUANZISHA SOMO LA UCHAMBUZI WA MICHEZO...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao...
6 Reactions
180 Replies
12K Views
Spika Tulia kaiva sana kwenye suala kutafiri Sheria, naangalia hapa Bunge live wanapitisha muswada wa tume ya uchaguzi naona anamtoa knout mpaka AG huyu dada ni balaa wabunge wote wanampigia...
6 Reactions
98 Replies
6K Views
Ujumbe wa DC Njombe kissagwakisakasongwa kuhusu VanillaNjombe 📍Serikali bado inafanyia kazi maswali mengi yaliyopo katika jamii kutokana na matangazo kwamba Vanilla inalipa na bei ya manunuzi ya...
28 Reactions
290 Replies
31K Views
Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba Nchini Tanzania , hakuna chama cha siasa kinachoweza kuizidi CHADEMA kwa wanachama (Pitieni tovuti ya CHADEMA DIGITAL) sasa hapa chini ni Mkutano...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Laana ya Mwenyezi Mungu IPO juu ya CHADEMA, imetawala katika vinywa na midomo ya viongozi wa chadema,Ni laana kutoka ofisi za chadema Hadi katika vichwa vya viongozi wake...
3 Reactions
93 Replies
4K Views
Kwa sababu kama Waongoza Maandamano watakuwa ni hao hao Mwanza, Mbeya na Arusha basi sisi wa Mikoa mingine tufungiwe big screen tuweze kufuatilia Ila kama Viongozi wa Chadema mikoani ndio...
0 Reactions
6 Replies
542 Views
Makonda ndio amegeuka mkusanya kero za wananchi kuliko watendaji kama wakuu za mikoa, madc na watendaji wa kata. Makonda amegeuka kuwa mtendaji? Anazunguka nchi nzima msafara mrefu. Anatumia...
1 Reactions
5 Replies
722 Views
LIPA ADA YAKO YA UWANACHAMA KUPITIA MITANDAO YA SIMU: Fahamu namna ya kulipa Ada ya Uanachama wa CCM na jumuiya zake kupitia mitandao ya simu. Ili kutimiza wajibu wa kikatiba wa kulipa Ada, ewe...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Andiko la mwisho la Ole Mushi hebu lipitie👇🏿 UKOLONI UNARUDI TANZANIA? Na Thadei Ole Mushi. Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa...
18 Reactions
56 Replies
10K Views
Bunge letu ni fake na halitoi majibu Serikali haiko serious kutatua matatizo ya wananchi. Katiba ni mfano! Wamebaki kisiasa kila kitu. Hakuna maridhiano ya maana yenye nia ya kuendeleza nchi...
3 Reactions
6 Replies
538 Views
https://www.cnbc.com/2024/02/05/bill-gates-backed-miner-discovers-large-scale-copper-deposit-in-zambia.html
0 Reactions
1 Replies
366 Views
Siasa za Bongo Safi sana yaani Ukiona mtu anaumia au kufa kwa hizi Siasa ujue Huyo ni bwege mtozeni Leo DC wa zamani huko Hai amemtambulisha baba mkwe wake Mzee Nassari Kanisani Eberneza mkoani...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Kuna watu wanadai eti Magufuli alikuwa anataka upinzani imara tofauti na Samia ambaye inadaiwa amewalambisha asali. Napenda kuwakumbusha hawa wenye kumbukumbu fupi kuwa hakuna rais aliyetumia...
16 Reactions
92 Replies
4K Views
Wananchi wa Ikombe kata ya Matema wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya wamemkabidhi Meneja wa TANESCO wilayani humo Kibatali ikiwa ni ishara ya kuachana na matumizi ya mafuta ya taa na umeme wa wa jua...
2 Reactions
14 Replies
984 Views
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye...
16 Reactions
258 Replies
18K Views
Kichwa cha thread kinajieleza kiutoshelevu kabisa Wabongo ni Watata, Wabishi, Wajuaji, Hawaambiliki nk...nk Ruzuku ni ya Chama cha Siasa wewe Bwashee Retired Huko Msambweni Tanga Unawashwawashwa...
1 Reactions
13 Replies
740 Views
Kufuatia kuibuka kwa mjadala wa ruzuku za vyama vya siasa kufuatia kauli ya Makamu mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Kinana aliyonukuliwa akisema CHADEMA wamechukua ruzuku ya shilingi za kitanzania...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Tunaishukuru Serikali kwa kusikia kilio cha Wananchi na hatimaye kuweza kuagiza sukari toka nje ya nchi kufidia upungufu uliojitokeza. Ninaishauri Serikali kuwa sukari yote iliyoagizwa kwanza...
2 Reactions
3 Replies
557 Views
Back
Top Bottom