Wananchi Msidanganyike wanawasikiliza kinafiki tu kwa Sababu ya Uchaguzi. Baada ya hapo wanawabwaga kama ilivyo miaka yote

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,155
20,332
Sasa hivi wanajipitisha pitisha eti wanasikiliza kero.

Kero gani ambazo hujaziona na kuzifanyia kazi miaka mitano yoote ambazo utatatua kwa miezi michache iliyobaki.

Sijaona watu wanafiki kama hawa.

Eti wako madarakani miaka 60 ya Uhuru leo ndio wanajifanya hawajui kama Wanachi wana Maji, shida ya Umeme, Shida ya afya na hali mbaya ya uchumi na miundo mbinu ya kijamii??

Tumewahtukia mkimaliza muzura mrudi kwenu maofisini kutanua maisha ila kiukweli nyinyi watu hamna mnachhojali kuhusu Maisha yetu.

Uchaguzi umewachangaya na mmeparanganyika.

Mnaomba msaada kwa mtu mliyemnyima mkidhani amesahau.
 
After Wamechukua chao mapema haoooo......imeisha hiyo.
 
Umeongea ukweli mtupu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi wanajipitisha pitisha eti wanasikiliza kero.

Kero gani ambazo hujaziona na kuzifanyia kazi miaka mitano yoote ambazo utatatua kwa miezi michache iliyobaki.

Sijaona watu wanafiki kama hawa.

Eti wako madarakani miaka 60 ya Uhuru leo ndio wanajifanya hawajui kama Wanachi wana Maji, shida ya Umeme, Shida ya afya na hali mbaya ya uchumi na miundo mbinu ya kijamii??

Tumewahtukia mkimaliza muzura mrudi kwenu maofisini kutanua maisha ila kiukweli nyinyi watu hamna mnachhojali kuhusu Maisha yetu.

Uchaguzi umewachangaya na mmeparanganyika.

Mnaomba msaada kwa mtu mliyemnyima mkidhani amesahau.
CCM NI MAPELI
 
Back
Top Bottom