Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya. Anaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika? Aliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Preamble ipo kwenye heading. Kupitia mikutano ya chamchela ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM bw. Makonda, tumeshuhudia kero mbalimbali zikiibuliwa na wananchi wanaofika mikutano hiyo. Awali...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican. Nani aende Vatican baada ya kuondoka...
9 Reactions
76 Replies
6K Views
Kabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija. Baada ya kupiga kura ikitokea wananchi wamekataa...
1 Reactions
7 Replies
683 Views
Makamu Rais wa Cuba ameanza ziara ya Kiserikali ya siku 3 Jana tarehe 23 Hapo hapo leo tarehe 24, Rais Samia ameanza ziara ndefu Nje ya Nchi akianzia Indonesia . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
Saudi Vision 2030 lays out targets for diversification and improving competitiveness. It is built around three main themes which set out specific objectives that are to be achieved by 2030: A...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Mwanasheria mkuu wa serikali ambaye pia ki-cheo ni Jaji, yaani alikuwa mwendesha mashitaka mkuu wa Serikali[DPP],ELIEZA FELESHI akateuliwa na Magufuli kuwa Jaji lakini sijui alionekanaje kwenye...
20 Reactions
106 Replies
6K Views
Nakupa dokezo. Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe. Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na...
14 Reactions
92 Replies
8K Views
CCM YAENDELEA KUVUTIA WAWEKEZAJI MKOA KAGERA. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Kagera, ndugu Nazir M. Karamagi amesema Chama Cha Mapinduzi kitaisimamia Serikali kuhakikisha inaendelea...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Siku ya Jumamosi ya tarehe 21 iliandikwa historia ya kunyesha mvua isiyo ya kawaida iliyosababisha maafa makubwa sana. Pamoja na maeneo mengine, jimbo la Kawe liliguswa vibaya sana na mvua hizi...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa. --- Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia...
9 Reactions
112 Replies
7K Views
Ukiwa kama mpinzani au mtu asiye na chama lakini haukikubali chama cha CCM ni mtu gani wa CCM akiwekwa kugombea urais utampigia kura kwa maslahi mapana ya nchi? Ukiwa kama mwana CCM kindakindaki...
0 Reactions
9 Replies
438 Views
Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Haya ni maajabu, kila mtu anaibuka nakutoa tamko lake kwa niaba ya serikali utadhani hawa ni wapinzani wa makundi mawili; Wagagagigikoko VS Watupori. Kweli hawa hamna kitu! Sent from my SM-A125F...
1 Reactions
0 Replies
352 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27...
21 Reactions
81 Replies
5K Views
TOP-TIER CABINET FOR 2026. 1. President of URT Samia Suluhu Hassan. 2. Vice President Philip Isdor Mpango. 3. Prime Minister Paul Christian Makonda. 4. Attorney General Palamagamba John Aidan...
7 Reactions
72 Replies
3K Views
Mkurugenzi mkuu wa LATRA unataka tutumie lugha ipi ili uelewe kuwa abiria tunaosafiri kutoka Arusha mjini kwenda Kikatiti ja King'ori tunashushwa Maji ya Chai wakati magari yana vibao vimeandikwa...
1 Reactions
0 Replies
482 Views
Moja ya mwananchi wilaya ya kakonko mkoa wa kigoma alilalamikia mbele ya mwenezi kwamba alijenga shule na baada ya kujenga shule hiyo mkurugenzi WA wilaya hiyo alimpa pesa kiduchu tofauti na...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mwanasheria Mkuu wa serikali Mheshimiwa Dkt Fereshi siku ya leo mbele ya mgeni rasmi Mheshimiwa Rais Dkt Samia amesema kuwa ameshitushwa sana na utitiri wa watu...
4 Reactions
119 Replies
8K Views
Usemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa. Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…