Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Usemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa. Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Jana, katika pita pita yangu mitandaoni, nimekutana na clip yenye tafsiri ya neno Tanganyika. Tanganyika ni neno la Kichapu likimaanisha nchi yenye rutuba. Kwa uelewa wangu, rutuba inaashiria...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
𝗥𝗘𝗩𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗: 𝗛𝗼𝘄 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗴𝗻𝗲𝗱 𝗮 𝗰𝗿𝗮𝘇𝘆 𝗱𝗲𝗮𝗹 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝗮 𝗺𝘆𝘀𝘁𝗲𝗿𝘆 𝗰𝗼𝗺𝗽𝗮𝗻𝘆 𝘁𝗼 𝗼𝗽𝗲𝗿𝗮𝘁𝗲 𝘁𝗵𝗲 𝗰𝗼𝘂𝗻𝘁𝗿𝘆'𝘀 𝗺𝗮𝗶𝗻 𝘁𝗼𝘂𝗿𝗶𝘀𝘁 𝗮𝗶𝗿𝗽𝗼𝗿𝘁 The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will...
24 Reactions
177 Replies
19K Views
Wabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
Tunamshukuru Mungu kwa kukutunuku nafasi hiyo, kama ulivyosema mwenyewe " uliluzukiwa" na kweli it was not easy for you kukalia kiti hicho kwa sababu imani ya walio wengi kwa kuangalia wanawake...
0 Reactions
1 Replies
487 Views
Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika, ni aibu kubwa na kukosa nidhamu kwa kiwango cha juu kama mtu ukishindwa kutimiza ahadi yako mwenyewe, uliyoitoa kwa hiari yako mwenyewe bila ya...
10 Reactions
75 Replies
4K Views
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema katika Ibara ya 1 inaeleza wazi kuwa Tanzania ni Nchi Moja na ni Jamhuri ya Muungano. Katika Ibara ya 2 (1) Katiba hiyo inaeleza wazi kuwa eneo la...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Naona ndani ya wiki hizi mbili wabunge wetu wameendelea kukunja Shingo wakiongozwa na spika wao , wengi wakiamini kuwa kukiwa na tume huru ya uchaguzi na mipaka hawatashinda Nafasi zao , huu ni...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Kutembea na sime kwa wamasai haijaanzia leo ni jadi yao na wamasai hawana ugomvi na mtu. Kuna ajenda fichika juu ya operesheni inayoendelea Zanzibar dhidi ya wamasai wenye sime. Wazanzibari...
14 Reactions
105 Replies
8K Views
Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi. Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais...
50 Reactions
237 Replies
13K Views
Jana kulikuwa na malumbano ya hoja ikihusu TATIZO LA UHABA WA SUKARI KUJIRUDIA KILA MARA NA KUYUMBISHA BEI SOKONI, NINI SULUHISHO LA KUDUMULA KUTATUA TATIZO HILI? Waalikwa walikuwa kutoka Bodi ya...
1 Reactions
4 Replies
840 Views
Kuna usemi wa kikoloni unasema " Do not wash your dirty linen in public" yaani kwa lugha ya madafu ni kuwa usifue nguo zako chafu chafu hadharani. Sasa Mwenyezi yeye anachukua nguo chafu za mamana...
3 Reactions
2 Replies
557 Views
Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine. Rais Samia na...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Polisi walianza kujiingiza ccm, baadae wakajigeuza kuwa wanachama wa ccm. IGP kadhaa wameruhusu hilo litokee. Leo Makonda anamuita mtu mwenye level ya RPC anamuhoji kwenye mkutano wa hadhara. Hii...
25 Reactions
130 Replies
8K Views
Vijana saivi wanajiita chawa hivi unajua chawa ni kitu Gani au anasifa ya kukaa kwenye nini tuache Ujinga Wakufata fata mkumbo tujitambue tusimama kutetea Taifa letu
2 Reactions
9 Replies
635 Views
Katika kada ambazo Makonda anaweza kushindwa au kukwama kuzihoji hadharani hata kama ikitokea kukawa na malalamiko dhidi yake ni pamoja na 1. Mahakama; Majaji na Mahakimu 2. Uhamiaji 3. Jeshi...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
UWT YASIMAMA KIDETE KUMSAIDIA NDUGU. MARIA NGODA KATIKA KESI INAYOMKABILI RUFAA YA MARIA NGODA YASIKILIZWA IRINGA Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu...
1 Reactions
7 Replies
824 Views
"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza...
45 Reactions
327 Replies
24K Views
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za...
11 Reactions
95 Replies
4K Views
Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya tarehe, 29 January 2023 Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu, Makala ya leo ni kuhusu hiki kinachoendelea Bungeni kwa Kamati ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom