RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Moja ya mwananchi wilaya ya kakonko mkoa wa kigoma alilalamikia mbele ya mwenezi kwamba alijenga shule na baada ya kujenga shule hiyo mkurugenzi WA wilaya hiyo alimpa pesa kiduchu tofauti na mkataba waliokubaliana hivyo angekuwa akienda ofisini kwake na kufukuzwa kama mkimbizi asiyefahamika hivyo baada ya mwananchi huyo kutoa lalamiko hiyo mkurugenzi ndipo alipoanza kusema kwamba hamtambui jambo ambalo limeleta sintofahau kwa kuwa tayari awali alikiri kumfanyia malipo.
Mkurugenzi unawezaje kusema mtu humfahamu huku awali umemlipa ?
Hi nchi tunawatendaji hatari wenye roho mbaya ya dhuluma mtu kama huyo yupo ofisi za umma anahudumia wananchi.
Aidha mwenezi baada ya kubaini mkurugenzi huyo Hana majibu ya kutosha ameacha maagizo fundi huyo alipwe stahiki zake zote na akamwambia asisafiri nae abaki anadhughulikia deni la huyo fundi
Mwenezi amemwambia sisafiri na watu wenye madeni