Mwanasheria Mkuu wa Serikali ashitushwa na utitiri wa watu katika ziara za Paul Makonda wakilalamikia kudhulumiwa haki zao na kutekwa kwa ndugu zao

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,311
9,740
Ndugu zangu Watanzania,

Mwanasheria Mkuu wa serikali Mheshimiwa Dkt Fereshi siku ya leo mbele ya mgeni rasmi Mheshimiwa Rais Dkt Samia amesema kuwa ameshitushwa sana na utitiri wa watu wanaojitokeza katika ziara za katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda wakilalamika kudhulumiwa haki zao pamoja na utekaji wa ndugu zao.

Katika kutatua changamoto hiyo amesema kuwa watafungua vituo mbalimbali nchini , kusudi wananchi wenye shida kama hizo waweze kupeleka malalamiko yao katika ofisi hizo kusudi wapatiwe msaada .katika hatua nyingine ameomba msaada wa kibajeti kusaidia kufanikisha jambo hilo hususani katika bajeti ijayo.

Ndugu zangu watanzania sasa ndio muone kuwa ziara za Mheshimiwa Paul Makonda namna zinavyofuatiliwa na viongozi mbalimbali na namna ambavyo zinaisadia serikali katika kutambua wapi pana shida na nini kifanyike kutatua shida hiyo . Ndio maana wananchi na watanzania wanaendelea kumiminika na kufurika kwa wingi katika mikutano ya Mheshimiwa makonda ,kwa kuwa wanaona lipo tumaini juu ya kero zao kupata ufumbuzi.

Ndio maana watu wanamuona Mheshimiwa Makonda kama mkombozi wao,sauti yao,mtetezi wao,nguvu yao,mwenzao anayejuwa na kuguswa shida zao.ndio maana pamoja na uwepo wa viongozi mbalimbali huko mikoani lakini bado imani yao ipo mikononi mwa ziara za Mheshimiwa Makonda na kuwa ni mtu sahihi anayeweza toa msukumo wa wao kupata haki zao zilizo dhulumiwa na kupokwa .

Ndio maana kwa machozi ,huzuni,machungu na hisia kali za maumivu wamejitokeza na wanaendelea kujitokeza bila uoga kumueleza madhila waliyo nayo na mateso waliyobeba katika mioyo na vifua vyao kwa muda mrefu.ndio maana wanamkimbilia Mheshimiwa Makonda ili awatue mizigo waliyo nayo mioyoni mwao.ndio maana wajane,yatima,wazee,watu wenye ulemavu wanatamani wakutane na uso wa Makonda ili wapate Tumaini.

Makonda ataendelea kuwa sauti ya wanyonge,kipaza sauti cha wanyonge .amepaza sauti na serikali imesikia juu ya dhuluma wanazofanyiwa Watanzania maeneo mbalimbali nchini ,na sasa serikali inakwenda kuchukua hatua kwa kujenga vituo maalumu kwaajili ya kupokea malalamiko ya aina hiyo na kuwasaidia watu kupata haki zao.

Mheshimiwa Makonda ni kama Mfalme Daudi aliyeteuliwa na aliyeinuliwa na mkono wa Mungu mwenyewe. Ndio maana anaendelea kusonga mbele kwa ujasiri,uhodari,ushupavu na umadhubuti wa hali ya juu sana katika kuwatetea na kuwasemea wananchi bila kujali wala kumuogopa mtu anayewaonea Watanzania.

Songa mbele kaka yangu Makonda. Taifa na watanzania wanaona kazi unayoifanya katika kuwatetea na kuwasemea,wanaona namna ulivyojitoa na kujitolea kuwapambania kwa jasho lako lote ili wapate haki zao.wote tunaona unavyoendelea kuwafuta machozi wale waliao kwa kudhulumiwa haki zao. Endelea kuwafuta machozi,kuwapa faraja na tabasamu wale wabubujikwao machozi

Mungu atakulipa kwa kazi njema ya kuwatetea na kuwasemea waja wake .Mungu yu pamoja nawe na atakutangulia popote uendapo .atakutangulia kama alivyo mtangulia mfalme Daudi katika vita vyake vyote. Uso wa Mungu utakuwa pamoja nawe popote uendapo.vita ni vya Bwana acha akupiganie vita yako pale maadui zako watakapotaka kuinuka dhidi yako. Watakuja kwa silaha za kila aina lakini wewe utawashinda kwa neno la Mungu na watadondoka mbele za macho yako na wasiinuke tena.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mwanasheria Mkuu wa serikali Mheshimiwa Dkt Fereshi siku ya leo mbele ya mgeni rasmi Mheshimiwa Rais Dkt Samia amesema kuwa ameshitushwa sana na utitiri wa watu wanaojitokeza katika ziara za katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda wakilalamika kudhulumiwa haki zao pamoja na utekaji wa ndugu zao.

Katika kutatua changamoto hiyo amesema kuwa watafungua vituo mbalimbali nchini , kusudi wananchi wenye shida kama hizo waweze kupeleka malalamiko yao katika ofisi hizo kusudi wapatiwe msaada .katika hatua nyingine ameomba msaada wa kibajeti kusaidia kufanikisha jambo hilo hususani katika bajeti ijayo.

Ndugu zangu watanzania sasa ndio muone kuwa ziara za Mheshimiwa Paul Makonda namna zinavyofuatiliwa na viongozi mbalimbali na namna ambavyo zinaisadia serikali katika kutambua wapi pana shida na nini kifanyike kutatua shida hiyo . Ndio maana wananchi na watanzania wanaendelea kumiminika na kufurika kwa wingi katika mikutano ya Mheshimiwa makonda ,kwa kuwa wanaona lipo tumaini juu ya kero zao kupata ufumbuzi.

Ndio maana watu wanamuona Mheshimiwa Makonda kama mkombozi wao,sauti yao,mtetezi wao,nguvu yao,mwenzao anayejuwa na kuguswa shida zao.ndio maana pamoja na uwepo wa viongozi mbalimbali huko mikoani lakini bado imani yao ipo mikononi mwa ziara za Mheshimiwa Makonda na kuwa ni mtu sahihi anayeweza toa msukumo wa wao kupata haki zao zilizo dhulumiwa na kupokwa .

Ndio maana kwa machozi ,huzuni,machungu na hisia kali za maumivu wamejitokeza na wanaendelea kujitokeza bila uoga kumueleza madhila waliyo nayo na mateso waliyobeba katika mioyo na vifua vyao kwa muda mrefu.ndio maana wanamkimbilia Mheshimiwa Makonda ili awatue mizigo waliyo nayo mioyoni mwao.ndio maana wajane,yatima,wazee,watu wenye ulemavu wanatamani wakutane na uso wa Makonda ili wapate Tumaini.

Makonda ataendelea kuwa sauti ya wanyonge,kipaza sauti cha wanyonge .amepaza sauti na serikali imesikia juu ya dhuluma wanazofanyiwa Watanzania maeneo mbalimbali nchini ,na sasa serikali inakwenda kuchukua hatua kwa kujenga vituo maalumu kwaajili ya kupokea malalamiko ya aina hiyo na kuwasaidia watu kupata haki zao.

Mheshimiwa Makonda ni kama Mfalme Daudi aliyeteuliwa na aliyeinuliwa na mkono wa Mungu mwenyewe. Ndio maana anaendelea kusonga mbele kwa ujasiri,uhodari,ushupavu na umadhubuti wa hali ya juu sana katika kuwatetea na kuwasemea wananchi bila kujali wala kumuogopa mtu anayewaonea Watanzania.

Songa mbele kaka yangu Makonda. Taifa na watanzania wanaona kazi unayoifanya katika kuwatetea na kuwasemea,wanaona namna ulivyojitoa na kujitolea kuwapambania kwa jasho lako lote ili wapate haki zao.wote tunaona unavyoendelea kuwafuta machozi wale waliao kwa kudhulumiwa haki zao. Endelea kuwafuta machozi,kuwapa faraja na tabasamu wale wabubujikwao machozi

Mungu atakulipa kwa kazi njema ya kuwatetea na kuwasemea waja wake .Mungu yu pamoja nawe na atakutangulia popote uendapo .atakutangulia kama alivyo mtangulia mfalme Daudi katika vita vyake vyote. Uso wa Mungu utakuwa pamoja nawe popote uendapo.vita ni vya Bwana acha akupigamie vita yako pale maadui zako watakapotaka kuinuka dhidi yako. Watakuja kwa silaha za kila aina lakini wewe utawashinda kwa neno la Mungu na watadondoka mbele za macho yako na wasiinuke tena.

CCM na watendaji wake wote hawaaminiki hata kidogo. Kuna uwezekano mkubwa kuwa taarifa hizo zote zinazotolewa kuwa ni za uongo. Pengine ni geresha tu imepangwa ili kuzuga wananchi na kutafuta tu kiki za kisiasa.
 
Tatizo sio kukosekana Vituo Bali watu watakaokuwepo kwenye Vituo.

Nchi hii uadilifu hakuna na waadilifu wanakuwa maadui wa jamii.

Pesa ndio muamzi.
 
Uwe serious basi na mtu anavunjwa unasema anaigiza suala ni kwà sababu Wananchi wanatoa shida zao kwà Makonda msiyempenda
 
Siku Moja ikaitishwa clinic ya ardhi.. NIKAENDA kwa bashasha. Kufika kule nikaandikishwa jina... Kisha anaeniskikoza akawa anaangalia kuleeee anakwambia we endelea nakuskiza katkat a aongea na WENZAKE kisha akaniambia jitahid uende mahakaman.... So hata hizo vituo vitakua vinafanya hivi hivi hakuna haja ya kuvianzisha, huko ni kuchezea Kodi zetu
 
Tatizo sio kukosekana Vituo Bali watu watakaokuwepo kwenye Vituo.

Nchi hii uadilifu hakuna na waadilifu wanakuwa maadui wa jamii.

Pesa ndio muamzi.
Naunga mkono hoja yako. Ni kweli inatakiwa wawekwe watu wenye kujuwa na kutambua wajibu wao na siyo kwenda kufanya kazi kwa mazoea na kutengeneza mazingira ya rushwa ili ndio watoe msaada ,suala ambalo bado haitakuwa na msaada kwa wanyonge wasio na cha kutoa. Hata hivyo nina imani na serikali na naamini imeona kinachotokea na kuendelea katika ziara za Mheshimiwa Makonda .hivyo itajuwa cha kufanya ili kuwasaidia Watanzania wanaotafuta na kupambania haki zao kuzipata kwa haki bila kucheleweshwa wala kuhangaishwa.
 
Siku Moja ikaitishwa clinic ya ardhi.. NIKAENDA kwa bashasha. Kufika kule nikaandikishwa jina... Kisha anaeniskikoza akawa anaangalia kuleeee anakwambia we endelea nakuskiza katkat a aongea na WENZAKE kisha akaniambia jitahid uende mahakaman.... So hata hizo vituo vitakua vinafanya hivi hivi hakuna haja ya kuvianzisha, huko ni kuchezea Kodi zetu
Ni kweli wapo wengine wanafanya kazi utafikiri wamelazimishwa au wanatimiza tu wajibu. Ni lazima na muhimu sana kwa serikali kufuatilia utendaji kazi wa watumishi wake katika ofisi hizo.
 
CCM na watendaji wake wote hawaaminiki hata kidogo. Kuna uwezekano mkubwa kuwa taarifa hizo zote zinazotolewa kuwa ni za uongo. Pengine ni geresha tu imepangwa ili kuzuga wananchi na kutafuta tu kiki za kisiasa.
Hawaaminiki kwa nani? Mbona unaongea vitu kama mtu uliyejikatia tamaa.maana unaongea vitu usivyo na uhakika navyo wala ushahidi navyo.
 
Kuwe kuna mbadala wa jeshi la polisi kila kitu kitakuwa sawa ila tukiendelea na hili jeshi ambalo watendaji wanawaza maokoto muda wote, Wananchi wataendelea kusema na watasema na bado wajasema!
 
Kikubwa kiwa na uwajibikaji na uwajibishwaji kwa yeyote atakayebainika kukiuka sheria na kwenda kinyume na taratibu za kazi.kuwepo sheria kali na hatua kali ikiwepo kufukuzwa kazi kwa yule atakaye onekana kufanya Vitendo vinavyokiuka maadili ya kiutumishi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mwanasheria Mkuu wa serikali Mheshimiwa Dkt Fereshi siku ya leo mbele ya mgeni rasmi Mheshimiwa Rais Dkt Samia amesema kuwa ameshitushwa sana na utitiri wa watu wanaojitokeza katika ziara za katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda wakilalamika kudhulumiwa haki zao pamoja na utekaji wa ndugu zao.

Katika kutatua changamoto hiyo amesema kuwa watafungua vituo mbalimbali nchini , kusudi wananchi wenye shida kama hizo waweze kupeleka malalamiko yao katika ofisi hizo kusudi wapatiwe msaada .katika hatua nyingine ameomba msaada wa kibajeti kusaidia kufanikisha jambo hilo hususani katika bajeti ijayo.

Ndugu zangu watanzania sasa ndio muone kuwa ziara za Mheshimiwa Paul Makonda namna zinavyofuatiliwa na viongozi mbalimbali na namna ambavyo zinaisadia serikali katika kutambua wapi pana shida na nini kifanyike kutatua shida hiyo . Ndio maana wananchi na watanzania wanaendelea kumiminika na kufurika kwa wingi katika mikutano ya Mheshimiwa makonda ,kwa kuwa wanaona lipo tumaini juu ya kero zao kupata ufumbuzi.

Ndio maana watu wanamuona Mheshimiwa Makonda kama mkombozi wao,sauti yao,mtetezi wao,nguvu yao,mwenzao anayejuwa na kuguswa shida zao.ndio maana pamoja na uwepo wa viongozi mbalimbali huko mikoani lakini bado imani yao ipo mikononi mwa ziara za Mheshimiwa Makonda na kuwa ni mtu sahihi anayeweza toa msukumo wa wao kupata haki zao zilizo dhulumiwa na kupokwa .

Ndio maana kwa machozi ,huzuni,machungu na hisia kali za maumivu wamejitokeza na wanaendelea kujitokeza bila uoga kumueleza madhila waliyo nayo na mateso waliyobeba katika mioyo na vifua vyao kwa muda mrefu.ndio maana wanamkimbilia Mheshimiwa Makonda ili awatue mizigo waliyo nayo mioyoni mwao.ndio maana wajane,yatima,wazee,watu wenye ulemavu wanatamani wakutane na uso wa Makonda ili wapate Tumaini.

Makonda ataendelea kuwa sauti ya wanyonge,kipaza sauti cha wanyonge .amepaza sauti na serikali imesikia juu ya dhuluma wanazofanyiwa Watanzania maeneo mbalimbali nchini ,na sasa serikali inakwenda kuchukua hatua kwa kujenga vituo maalumu kwaajili ya kupokea malalamiko ya aina hiyo na kuwasaidia watu kupata haki zao.

Mheshimiwa Makonda ni kama Mfalme Daudi aliyeteuliwa na aliyeinuliwa na mkono wa Mungu mwenyewe. Ndio maana anaendelea kusonga mbele kwa ujasiri,uhodari,ushupavu na umadhubuti wa hali ya juu sana katika kuwatetea na kuwasemea wananchi bila kujali wala kumuogopa mtu anayewaonea Watanzania.

Songa mbele kaka yangu Makonda. Taifa na watanzania wanaona kazi unayoifanya katika kuwatetea na kuwasemea,wanaona namna ulivyojitoa na kujitolea kuwapambania kwa jasho lako lote ili wapate haki zao.wote tunaona unavyoendelea kuwafuta machozi wale waliao kwa kudhulumiwa haki zao. Endelea kuwafuta machozi,kuwapa faraja na tabasamu wale wabubujikwao machozi

Mungu atakulipa kwa kazi njema ya kuwatetea na kuwasemea waja wake .Mungu yu pamoja nawe na atakutangulia popote uendapo .atakutangulia kama alivyo mtangulia mfalme Daudi katika vita vyake vyote. Uso wa Mungu utakuwa pamoja nawe popote uendapo.vita ni vya Bwana acha akupigamie vita yako pale maadui zako watakapotaka kuinuka dhidi yako. Watakuja kwa silaha za kila aina lakini wewe utawashinda kwa neno la Mungu na watadondoka mbele za macho yako na wasiinuke tena.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Malalamiko ya watu kutekwa na kupotezwa yameanzia kwenye mikutano ya kisanii ya Makonda? Yeye mwenyewe ni mtuhumiwa wa kazi hizo chafu ndo maana anaambiwa ili asaidie kuwapata Kwa vile mbinu zote za utekaji anazijua.
 
Dh

0742-67662

Kuna kero na dhuluma nyingi miongoni mwa wananchi. Mh. Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan anachafuliwa na viongozi wasio waamini na wabathirifu. Angalia mfano huu
View: https://www.youtube.com/watch?v=ZToGkFXN4yk&t=53s
 
Back
Top Bottom