Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi.
Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni...
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) limemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa viti maalum...
Hafuati taratibu zozote, Ujaji ni wake, uhakimu ni wake, uwakili ni wake, ushauri ndoa ni wake, ukulima ni wake, uzalishaji viwandani ikiweno sukari ni wake, uongozi wa kibabe ni wake, ukada zaidi...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mwamba Mwenyewe wa Siasa Mheshimiwa Paul Makonda ataanza kuunguruma kwa kishindo cha simba katika mikoa ishirini bila...
BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti...
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .
Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.
Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni...
Ukiisoma Katiba ya CCM na Kanuni zake za utendaji Kazi utagundua Komredi Makonda anatembea mule mule kwa mujibu wa Cheo chake
Ila aongeze ukali kwani Watanzania siyo Watu wa kuwachekeachekea
Hili ongezeko la nauli limekuwa kero sasa na Makonda wanacheza na mziki wa viongozi wa LATRA ambao wao wana matumbo ya kushiba na familia zao
Huku Mwanza sijaona faida ya LATRA kuongeza nauli...
Binafsi Naona michongo na wizi tu Ndio vimeshika kasi tofauti na Mawaziri wa Tanzania Visiwani ambao wanachapa Kazi kweli kweli.
Niambie Waziri gani kafanya nini cha kumnufaisha mtanzania?
Huku Zanzibar kuna mgawanyiko mkubwa kisiasa. Mzee Mwinyi anafanya vizuri sana kuleta maendeleo lakini hakubaliki. Baadhi ya factors zinazofanya asikubalike ni hizi hapa.
1. Siyo Mzanzibari
2...
Wamepotelea wapi wenye courage namna hii? Hivi wasanii wa sasa wangekuwa na uwezo wa kuwachapa namna hii sii pengine kila mtu angeamka?
Ila kumbe chuki za raia dhidi ya CCM hazijaanza leo, ona...
Mpango wa kuanza kutumia jamii namba (unique number) kwa ajili ya utoaji wa huduma nchini katika ujenzi wa mfumo wa utambulisho wa kidigitali kufikia uchumi wa kidijitali
Wizara ya Habari...
Wakati ukimjibu dereva aliyelalamikia ukamataji wa madereva wanaobeba mkaa. Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa...
VITABU VINAVYOELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
ILANI 2020-2025
Vitabu viwili vimechapishwa na vinasambazwa. Uchapishaji wa vitabu vingine...
Serikali ya Rais Samia haieleweki ni serikali ya nini na inasimamia nini, hii ni shida kubwa. Serikali ya awamu ya tano ilikuwa ya viwanda na matendo yake yalikuwa ya kiviwanda ndiyo maana mkoa wa...
KOMREDI MWAJABU MBWAMBO AONGOZA UWT MKOA WA DAR ES SALAAM KUTEMBELEA IHSAN ORPHANAGE CENTER KIGAMBONI-KIBADA
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es salaam ukiongozwa na Mwenyekiti UWT...
Kupitia ukurasa wake wa X Meya Mstaafu wa Ubungo Boniface Jacobo ameandika namnukuu
" Taarifa ya ununuzi wa MAJUMBA nje ya nchi uliofanywa na mawaziri INATISHA
1.Maziri kutoka Zanzibar kanunua...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM)...
Sijui ni uwezo mdogo kielimu ndiko kunapelekea polisi kunyima haki pindi watu wanapopeleka malalamiko! au ni serikali kupitia CCM ndio mnawafumbia macho hawa polisi? kuna kesi nyingi sana za watu...
KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.