Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,044
71,288
Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi.

Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?.

Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?.

Katibu Mwenezi tu, lakini kazi anayopiga, Uthubutu alonao , kwanini asipendwe ?.

Inawezekana akawa wa Maneno tu, pengine utekelezaji ukawa Mdogo kwakua watekelezaji ndio wanaomkwamisha ..Lakini kitendo Cha Uthubutu wake ,bila kujali nafasi yake, kunatosha kabisa kumpa Sifa ya Ubora wa Uongozi.

Ziara za Makonda, zinaendelea kuonyesha ,nini Wananchi wanataka, watu wanajisikia Amani, wanaona wanajaliwa, wanakua na tumaini .

Laiti kama Kuanzia Wenyeviti wa mitaa , mpaka mawaziri , Watumishi wote wa umma, wangezijua nafasi zao , Ni wazi , Ziara za Makonda zingekutana na malalamiko kidogo.

Mungu akulinde sana Mh Paul Makonda . !!.
 
Huyu mwamba huyu!

Itoshe tu kusema Mungu amsaidie na kumlinda maana hakuna vita ngumu kama kupambana na mkoloni mweusi a.k.a mafisadi.

Kama unafuatilia ziara ya Katibu Mwenezi wa CCM, Mh. Paul Christian Makonda, utagundua mikutano yake imekuwa inafurika watu wengi sana kutokana na kile anachokifanya. Makonda amejitanabaisha kama mtetezi wa Watanzania wa hali ya chini na wanyonge ambao kwa bahati mbaya sana ndo wengi hapa nchini.

Aidha amekuwa akisisitiza watendaji wa serikali na sekta binafsi hasa wanaoshughulika na wananchi moja kwa moja kuhakikisha wanawajibika ipasavyo kwa akili ya kuwatumikia wanachi hawa wanyonge.

Ni mafisadi tu na wenye roho mbaya ambao watakuwa kinyume na Mh. Paul Christian Makonda kwa hii kazi nzuri anayoifanya.

Japo ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba hawezi na hatoweza kumfikia kila mhitaji katika nchi hii, lakini kwa hiki anachokifanya kwa kweli anastahili pongezi. Ni mfano mzuri na angalau wananchi watapata sehemu ya kukimbilia tena baada ya Rais wao waliyemchagua kwa kura nyingi kuwaacha katika mazingira ya kutatanisha!

Ee Mungu wa Mbinguni, mlinde PCM na umjalie Hekima mtumishi wako anaposhughulika na kuwatumikia watu wako,

Amin.
 
Namkubali sana Makonda, yaani ni kiongozi hasa, anajua kuona mbali maana hata Dkt Samia ni yeye aliyemnenea mema na mpaka akawa rais. Kwa ufupi Makonda ni Nabii. Mungu amlinde sana ampe maisha marefu na hatimaye aje kuwa rais wetu wa JMT.
 
Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi.

Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?.

Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?.

Katibu Mwenezi tu, lakini kazi anayopiga, Uthubutu alonao , kwanini asipendwe ?.

Inawezekana akawa wa Maneno tu, pengine utekelezaji ukawa Mdogo kwakua watekelezaji ndio wanaomkwamisha ..Lakini kitendo Cha Uthubutu wake ,bila kujali nafasi yake, kunatosha kabisa kumpa Sifa ya Ubora wa Uongozi.

Ziara za Makonda, zinaendelea kuonyesha ,nini Wananchi wanataka, watu wanajisikia Amani, wanaona wanajaliwa, wanakua na tumaini .

Laiti kama Kuanzia Wenyeviti wa mitaa , mpaka mawaziri , Watumishi wote wa umma, wangezijua nafasi zao , Ni wazi , Ziara za Makonda zingekutana na malalamiko kidogo.

Mungu akulinde sana Mh Paul Makonda . !!.
jamaa wengine ati wanaukasirikia huu ukweli na wanaumia haswaaaaa 🐒

Na mimi nasema kijana anakwenda vizuri sana ..na mimi nikipima kabisaa naona huyu kijana atafika mbali huko mbele 🐒
 
Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi.

Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?.

Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?.

Katibu Mwenezi tu, lakini kazi anayopiga, Uthubutu alonao , kwanini asipendwe ?.

Inawezekana akawa wa Maneno tu, pengine utekelezaji ukawa Mdogo kwakua watekelezaji ndio wanaomkwamisha ..Lakini kitendo Cha Uthubutu wake ,bila kujali nafasi yake, kunatosha kabisa kumpa Sifa ya Ubora wa Uongozi.

Ziara za Makonda, zinaendelea kuonyesha ,nini Wananchi wanataka, watu wanajisikia Amani, wanaona wanajaliwa, wanakua na tumaini .

Laiti kama Kuanzia Wenyeviti wa mitaa , mpaka mawaziri , Watumishi wote wa umma, wangezijua nafasi zao , Ni wazi , Ziara za Makonda zingekutana na malalamiko kidogo.

Mungu akulinde sana Mh Paul Makonda . !!.
Mamlaka ya uteuzi kama ikiona inafaa, ateuliwe kuwa mbunge wa kuteuliwa, kisha akabidhiwe unaibu waziri mkuu na uwaziri wa nishati. Kwa kuwa muarobaini wa mgao wa umeme bado ni ndoto za alinacha.
 
Makonda, Simba , Kwa hii Ziara ya Shinyanga ,, Hakika Nchi hiii Si Polisi, Si mahakama, Si Matajiri si Serikali, wooooooote ni watesi wa WANYONGE.

Embu fikiria, sakata la RPC kutuhumiwa kutaka kuua Mwanamama, na Bado wanampora zaidi ya million 19??

Fikiria habari ya yule Binti na Mama ambaye wote wamepotelewa na Waume zao wakiwa mikononi mwa RPC??.

Hii Nchi!!. Ndio maana Kila siku unasikika DPP Hana mpango wa kuendelea na kesi... Hivi Muuaji aloua, anawezaje kuachiwa huru, kisa tu kakiri kosa, kakubali kulipa fidia ?.

Jela kwa ajili ya Masikini.
 
Kwani Makonda yupo Serekali tofauti na hiyo anayoisimamia!? Ila wabunge ni wawakilishi WA wananchi ila haya makando makando hawayaoni
 
Huyu mwamba huyu!

Itoshe tu kusema Mungu amsaidie na kumlinda maana hakuna vita ngumu kama kupambana na mkoloni mweusi a.k.a mafisadi.

Kama unafuatilia ziara ya Katibu Mwenezi wa CCM, Mh. Paul Christian Makonda, utagundua mikutano yake imekuwa inafurika watu wengi sana kutokana na kile anachokifanya. Makonda amejitanabaisha kama mtetezi wa Watanzania wa hali ya chini na wanyonge ambao kwa bahati mbaya sana ndo wengi hapa nchini.

Aidha amekuwa akisisitiza watendaji wa serikali na sekta binafsi hasa wanaoshughulika na wananchi moja kwa moja kuhakikisha wanawajibika ipasavyo kwa akili ya kuwatumikia wanachi hawa wanyonge.

Ni mafisadi tu na wenye roho mbaya ambao watakuwa kinyume na Mh. Paul Christian Makonda kwa hii kazi nzuri anayoifanya.

Japo ni ukweli UKIP wait kabisa kwamba hatoweza kumfikia kila mhitaji katika nchi hii, lakini kwa hiki anachokifanya kwa kweli anastahili pongezi.

Ee Mungu wa Mbinguni, mlinde PCM na umjalie Hekima mtumishi wako anaposhughulika na kuwatumikia watu wako,

Amin.

Huyu mjamaa ni mtu mwenye maono sana....

Actually,
The gentlemen is a visionary leader of a modern times...

He is very focused, ambitious and committed to transform the country to the next level in cooperations with all other citizens of United Republic of Tanzania...

God bless Makonda,
God bless Tanzania
 
Hongera sana mh. Paul Makonda. Ungekuwa na mamlaka ya juu zaidi, kukatika kwa umeme kusingekuwepo, ubabaisha katika kazi za umma usingekuwepo kama ilivyokuwa wakati wa JPM.

Mungu azidi kukupa nguvu na kukulinda.
 
Huyu mwamba huyu!

Itoshe tu kusema Mungu amsaidie na kumlinda maana hakuna vita ngumu kama kupambana na mkoloni mweusi a.k.a mafisadi.

Kama unafuatilia ziara ya Katibu Mwenezi wa CCM, Mh. Paul Christian Makonda, utagundua mikutano yake imekuwa inafurika watu wengi sana kutokana na kile anachokifanya. Makonda amejitanabaisha kama mtetezi wa Watanzania wa hali ya chini na wanyonge ambao kwa bahati mbaya sana ndo wengi hapa nchini.

Aidha amekuwa akisisitiza watendaji wa serikali na sekta binafsi hasa wanaoshughulika na wananchi moja kwa moja kuhakikisha wanawajibika ipasavyo kwa akili ya kuwatumikia wanachi hawa wanyonge.

Ni mafisadi tu na wenye roho mbaya ambao watakuwa kinyume na Mh. Paul Christian Makonda kwa hii kazi nzuri anayoifanya.

Japo ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba hawezi na hatoweza kumfikia kila mhitaji katika nchi hii, lakini kwa hiki anachokifanya kwa kweli anastahili pongezi. Ni mfano mzuri na angalau wananchi watapata sehemu ya kukimbilia tena baada ya Rais wao waliyemchagua kwa kura nyingi kuwaacha katika mazingira ya kutatanisha!

Ee Mungu wa Mbinguni, mlinde PCM na umjalie Hekima mtumishi wako anaposhughulika na kuwatumikia watu wako,

Amin.
Ninyi ndo sampuli ya wale wadada wakikuona na gari hata kama sio lako wanakushobokea mpaka wanatiwa mimba na wanaachwa. Unetumia akili ya wapi kuandika huu upumbavu?
 
Makonda, Simba , Kwa hii Ziara ya Shinyanga ,, Hakika Nchi hiii Si Polisi, Si mahakama, Si Matajiri si Serikali, wooooooote ni watesi wa WANYONGE.

Embu fikiria, sakata la RPC kutuhumiwa kutaka kuua Mwanamama, na Bado wanampora zaidi ya million 19??

Fikiria habari ya yule Binti na Mama ambaye wote wamepotelewa na Waume zao wakiwa mikononi mwa RPC??.

Hii Nchi!!. Ndio maana Kila siku unasikika DPP Hana mpango wa kuendelea na kesi... Hivi Muuaji aloua, anawezaje kuachiwa huru, kisa tu kakiri kosa, kakubali kulipa fidia ?.

Jela kwa ajili ya Masikini.
Huyu DPP wa sasa ni jipu lenye usaha kabisa.
Anafungulia mashtaka wasiostahili na kuachilia huru wanaopaswa kushitakiwa kwa sababu tu ya fedha!
 
Back
Top Bottom