Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona tuje na maandamano ya amani ya kupinga yanayoendelea kuhusu umeme Kila kiongozi kapuuza matatizo yanayoendelea kwa sasa Nashauri tuanzishe vuguvugu la maandamano ya amani tu kuhusu umeme...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Peter Kapala, leo Januari 29, 2024 wamefanya kikao kilicholenga kujadili nia ya Serikali...
0 Reactions
1 Replies
774 Views
Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kazi ya Katibu wa Itikadi,uenezi na Mafunzo ni kukisemea na kukitolea taarifa chama kinapokua kwenye utekelezaji wake. Sasa Kaka Bashite aneacha wajibu wake anafahya...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Niko Hapa Sea Boys Magomeni mapipa na kuna mjadala unaendelea baada ya Umeme kukatika Wakazi wa mitaa hii wanamuona Makonda kama mtu anayeweza kuzungumza Matatizo na kero zao Bila woga Mzee...
1 Reactions
9 Replies
712 Views
Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi. Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni...
16 Reactions
69 Replies
4K Views
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) limemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa viti maalum...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hafuati taratibu zozote, Ujaji ni wake, uhakimu ni wake, uwakili ni wake, ushauri ndoa ni wake, ukulima ni wake, uzalishaji viwandani ikiweno sukari ni wake, uongozi wa kibabe ni wake, ukada zaidi...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mwamba Mwenyewe wa Siasa Mheshimiwa Paul Makonda ataanza kuunguruma kwa kishindo cha simba katika mikoa ishirini bila...
5 Reactions
105 Replies
5K Views
BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia . Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!. Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni...
14 Reactions
95 Replies
8K Views
Ukiisoma Katiba ya CCM na Kanuni zake za utendaji Kazi utagundua Komredi Makonda anatembea mule mule kwa mujibu wa Cheo chake Ila aongeze ukali kwani Watanzania siyo Watu wa kuwachekeachekea
1 Reactions
1 Replies
407 Views
Hili ongezeko la nauli limekuwa kero sasa na Makonda wanacheza na mziki wa viongozi wa LATRA ambao wao wana matumbo ya kushiba na familia zao Huku Mwanza sijaona faida ya LATRA kuongeza nauli...
4 Reactions
9 Replies
785 Views
Binafsi Naona michongo na wizi tu Ndio vimeshika kasi tofauti na Mawaziri wa Tanzania Visiwani ambao wanachapa Kazi kweli kweli. Niambie Waziri gani kafanya nini cha kumnufaisha mtanzania?
2 Reactions
14 Replies
626 Views
Huku Zanzibar kuna mgawanyiko mkubwa kisiasa. Mzee Mwinyi anafanya vizuri sana kuleta maendeleo lakini hakubaliki. Baadhi ya factors zinazofanya asikubalike ni hizi hapa. 1. Siyo Mzanzibari 2...
10 Reactions
39 Replies
4K Views
Wamepotelea wapi wenye courage namna hii? Hivi wasanii wa sasa wangekuwa na uwezo wa kuwachapa namna hii sii pengine kila mtu angeamka? Ila kumbe chuki za raia dhidi ya CCM hazijaanza leo, ona...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mpango wa kuanza kutumia jamii namba (unique number) kwa ajili ya utoaji wa huduma nchini katika ujenzi wa mfumo wa utambulisho wa kidigitali kufikia uchumi wa kidijitali Wizara ya Habari...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakati ukimjibu dereva aliyelalamikia ukamataji wa madereva wanaobeba mkaa. Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa...
14 Reactions
36 Replies
4K Views
VITABU VINAVYOELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI ILANI 2020-2025 Vitabu viwili vimechapishwa na vinasambazwa. Uchapishaji wa vitabu vingine...
1 Reactions
2 Replies
447 Views
Serikali ya Rais Samia haieleweki ni serikali ya nini na inasimamia nini, hii ni shida kubwa. Serikali ya awamu ya tano ilikuwa ya viwanda na matendo yake yalikuwa ya kiviwanda ndiyo maana mkoa wa...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
KOMREDI MWAJABU MBWAMBO AONGOZA UWT MKOA WA DAR ES SALAAM KUTEMBELEA IHSAN ORPHANAGE CENTER KIGAMBONI-KIBADA Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es salaam ukiongozwa na Mwenyekiti UWT...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Back
Top Bottom