Wakazi wa Magomeni watamani Makonda awe Waziri wa Nishati, hapatakuwa na mgao wa mwanga!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Niko Hapa Sea Boys Magomeni mapipa na kuna mjadala unaendelea baada ya Umeme kukatika

Wakazi wa mitaa hii wanamuona Makonda kama mtu anayeweza kuzungumza Matatizo na kero zao Bila woga

Mzee Idris anasema kwa sasa katika Wanaccm wote Makonda Ndiye angefaa kuwa Waziri wa Nishati na hii katika katika ya Umeme kwa Ujanjaujanja wa wapiga dili angeikomesha

Mjadala unaendelea tuko na Makamanda wa Chadema pia hii nchi ni yetu sote 😀
 
Kwani atafanya nini kipya? Ataleta umeme utoke wapi? Atazuia mitambo isiharibike? Acha ujinga
 
Huu mgao wa umeme unasababishwa na ujanja ujanja tu kama mleta mada alivyosema.

Visingizio vyote walivyotoa wameumbuka, kuanzia matengenezo ya mitambo mpaka ukosefu wa mvua, tatizo ni udhaifu wa Samia unayemsifia kila siku, kama angeamua kuwa serious na nafasi yake aache kuendeshwa na wafanyabiashara, tungekuwa pazuri sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Ujanja ujanja upi? Mbona hamuombi kazi hizo mteuliwe then mkomeshe?
 
Niko Hapa Sea Boys Magomeni mapipa na kuna mjadala unaendelea baada ya Umeme kukatika

Wakazi wa mitaa hii wanamuona Makonda kama mtu anayeweza kuzungumza Matatizo na kero zao Bila woga

Mzee Idris anasema kwa sasa katika Wanaccm wote Makonda Ndiye angefaa kuwa Waziri wa Nishati na hii katika katika ya Umeme kwa Ujanjaujanja wa wapiga dili angeikomesha

Mjadala unaendelea tuko na Makamanda wa Chadema pia hii nchi ni yetu sote
Acha ujinga huwezi kuona kuwa wote Hawa ni hujuma tu za upigaji.
 
Niko Hapa Sea Boys Magomeni mapipa na kuna mjadala unaendelea baada ya Umeme kukatika

Wakazi wa mitaa hii wanamuona Makonda kama mtu anayeweza kuzungumza Matatizo na kero zao Bila woga

Mzee Idris anasema kwa sasa katika Wanaccm wote Makonda Ndiye angefaa kuwa Waziri wa Nishati na hii katika katika ya Umeme kwa Ujanjaujanja wa wapiga dili angeikomesha

Mjadala unaendelea tuko na Makamanda wa Chadema pia hii nchi ni yetu sote
Nyie ndio mnaopoteza heshima ya JF.
Imagine mtu kwa mara ya kwanza kuja humu JF anaanza kusoma hii hoja yako! Hakika atatoka na conclusion kwamba JF home of Jingas.
Hebu omba radhi kwa huu utopolo wako

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom