Uwepo wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kwenye kambi ya Taifa Stars kule Ivory Coast kumeifanya Timu yetu kuweka Historia Mpya kwa kurudi Nyumbani na jumla ya pweinti 2
Ikumbukwe akina Tenga na...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amejibu baadhi ya hoja zilizoibuliwa kuhusu kupanda bei kwa sukari huku akiwatahadharisha Wafanyabishara wanaotumia Wanasiasa kuishikilia bango ajenda ya kupanda kwa...
Daima nimemsifu Bashe kwa msimamo wake wa kutokuzuia wakulima kuuza mazao yao mahali popote, iwe ndani ya nchi au nje ya nchi. Kwenye hilo mpaka sasa namwunga mkono.
Lakini taarifa kwamba...
Hatimaye imesalia siku moja kufikia 24/1/2024 ambayo ni siku ya kihistoria Tanzania. Ni siku ya mageuzi halisi. Yameandaliwa na kuratibiwa na Chadema kupinga miswada ya sheria za uchaguzi kama...
Sisi wengine ambao hatubebwi na mihemko ya kivyama bali ukweli wa nafasi, tunaona dhahiri kuwa Rais Samia kuna mambo amekosea lakini pia kuna mambo amefanya na anafanya vizuri.
Lakini pia kwa...
Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini).
Idara ambayo ni mama ya inchi kama...
Zote tunajua kuwa katiba yetu inamapungufu mengi. lakini sasa wewe kama mtanzania mzalendo ungepewa nafasi ya kuifanyia marekebisho ungetamani jambo gani jipya liwemo na lipi liondolewe ili Sisi...
Mikopo inayotolewa na hazina katika mkoa wa Tabora imejaaa rushwa na ukilitimba. Hii ipo zaidi katika Tabora manispaaa pamoja wilaya ya Uyui ambapo maafisa utumishi wako wazi kabisa...
Iko wapi ACT Wazalendo?
Iko wapi CUF?
Iko wapi NCCR mageuzi?
Kiukweli tumebakia na Chadema tu inayowakilisha Upinzani nchi nzima
Chaguzi zijazo ni CCM vs Chadema, hilo halina ubishi
Mlale Unono 😂
Wanabodi,
Makala ya Jumapili ya Tarehe 22./01/2023\
Leo naendelea na sehemu ya pili ya mada ya wiki iliyopita kuhusu haki kuu mbili za kisiasa zilizotolewa na katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977, na...
Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya Leo, 29 January 2023
Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu,
Katiba ndio sheria mama, sheria nyingine yoyote yoyote inayokwenda...
Wanabodi
Hii ni Makala ya Jumapili ya Leo
Leo naendelea na ile mada ya kuhusu Haki za Kikatiba, zilizotolewa na Ibara moja ya Katiba, halafu zikaja kuporwa kwa kuchomekewa vifungu vinavyopora...
Maamuzi ya wizara ya habari kutafuta Software developers au ushirikiano toka sekta ya kibenki ni wa kupongezwa,Serikalini bado wanajikongoja sana software engineers wake
,Wale vijana waliokuwa...
Baada ya Mwenyekiti wa Chadema kuutangazia Umma kuwa chama chake kinategemea kufanya maandamano ya amani jijini Dar tarehe 24 mwezi huu, kama kawaida viliibuka baadhi ya vyama, wakiongozwa na...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anaeendelea na ziara ya kikazi mkoani Lindi katika kukagua na kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maji ameanza kwa kutekeleza maagizo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
Kipindi cha JK, hadi watoto wa primary waliandamana eti nao wanadai haki yao, wanavyuo, vyama pinzani, mpaka wabadini nao waliandamana kudai haki zao
Inashangaza sana
Nakumbuka 2013 nilikuwa...
Kuna mambo yanayogusa maisha ya wananchi ya kila dakika. Suala la mgao wa umeme, miundombinu ya maji kuharibika na kutokutengezwa kwa haraka ili kurejesha huduma, barabara mbovu, dawa hospitalini...
Friends and Our Enemies,
Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...
Kwenye mkutano wa Makonda huko Moshi kumejetokeza kwamba Manisipaa imechukua eneo la mtu (Mhindi) na kulipima kimakosa kisha kuwauzia wananchi. Mhindi kaenda mahakamani, kashinda kesi dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.