Maandamano yasiwe ya CHADEMA tu, mambo ni mengi ya kuilalamikia Serikali ya CCM

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Hatimaye imesalia siku moja kufikia 24/1/2024 ambayo ni siku ya kihistoria Tanzania. Ni siku ya mageuzi halisi. Yameandaliwa na kuratibiwa na Chadema kupinga miswada ya sheria za uchaguzi kama ilivyokubaliwa kwenye maridhiano.

Hata hivyo tukiweka Kandi lengo la kisiasa tunaomba wananchi hasa wa kipato Cha chini nao tujitokeze kuyaunga mkono maandamano hayo tukiwa na mabango ya ugumu wa maisha na kupanda kwa bei za bidhaa hasa domestics kama vyakula nk.

Hii ni fursa adhimu mno kuieleza Serikali mateso yetu. Uthubutu wetu na wingi wetu utaweza kuleta mageuzi katika maisha ya kila siku.

Tuhamasishane hata Kwa wenzetu wasio na smartphone. Inyeshe mvua au jua tuiambie Dunia kuwa Watanzania wanaishi jehanam katikati ya watu wachache wanaokula keki ya nchi Hadi kuvimbiwa.

Sambaza ujumbe huu walau Kwa watu 100 tu.
Wabeja.
 
Maandamano ni ya Watanzania wote wanaoumizwa na mfumo wa utawala wa kifahari wa CCM usiojali madhila yanayowakumba raia wa nchi hii. Mfano hai ni huu msafara wa kisanii wa Makonda hapa. Hizo zote ni gari za serikali hapo
 
Hatimaye imesalia siku moja kufikia 24/1/2024 ambayo ni siku ya kihistoria Tanzania. Ni siku ya mageuzi halisi. Yameandaliwa na kuratibiwa na Chadema kupinga miswada ya sheria za uchaguzi kama ilivyokubaliwa kwenye maridhiano.

Hata hivyo tukiweka Kandi lengo la kisiasa tunaomba wananchi hasa wa kipato Cha chini nao tujitokeze kuyaunga mkono maandamano hayo tukiwa na mabango ya ugumu wa maisha na kupanda kwa bei za bidhaa hasa domestics kama vyakula nk.

Hii ni fursa adhimu mno kuieleza Serikali mateso yetu. Uthubutu wetu na wingi wetu utaweza kuleta mageuzi katika maisha ya kila siku. Tuhamasishane hata Kwa wenzetu wasio na smartphone. Inyeshe mvua au jua tuiambie Dunia kuwa Watanzania wanaishi jehanam katikati ya watu wachache wanaokula keki ya nchi Hadi kuvimbiwa.

Sambaza ujumbe huu walau Kwa watu 100 tu.
Wabeja.
hayo maandamano haramu ya mapanyarodi na manyumbu ni ya Chadema na wao pekeyoa....

wanaojielewa hawawezi shiriki kupigwa virungu, kuteguliwa taya na viouno ili wakatese na kuipa familia y mizigo wa malezi 🐒
 
Hivi mkuu unajielewa kweli au unafurahisha genge? We ni mtanzania kweli au ni CCM unaelamba japo mabaki ya cake ya viongozi hawa dharimu?
Tuwe serious na hii nchi jamani ni sisi wenyewe tutakoleta mabadiriko kwa kufunguka akili na kujisemea kwa vitendo.
Acha uchawa ndugu yangu wewe utapita ila utakiacha kizazi chako katika mateso ya CCM ambayo wajukuu wako hawatotambulika kama wewe.
 
unaona sasa 🐒

mie SiO mtu wa magenge ya mapanyarodi na manyumbu mkuu...

wala wanangu hawawezi kamwe kuwa kwenye genge la hovyo kama chadema...

halafu apo ndio umeona umeongea jambo la maana weee 🤣
 
unaona sasa 🐒

mie SiO mtu wa magenge ya mapanyarodi na manyumbu mkuu...

wala wanangu hawawezi kamwe kuwa kwenye genge la hovyo kama chadema...
Hata mimi siyo CDM lakini upumbavu wa CCM hauvumiliki.

Wewe ni moja wa kada wa ccm mnaofaidi hii nchi ndo maana unaona kila kitu sawa tu as long as mkate wako unapatiwa basi.

Ila dunia haiendi hivyo ujue tu kuna watu wengi sana wanataabika tembelea hata kijijini kwenu.
 
Tatizo kubwa ulilonalo na pengine wengine ni mihemko, ghadhabu na kutia huruma that one can never work 🐒

Tatizo la pili you all lack discipline.
Hayapo mabadiliko, mageuzi au mapinduzi yamefanyika na kufanikiwa bila discipline kuanzia kwenye mawazo, maneno na hata matendo.
This one inakatisha tamaa na kuogopesha waastarabu kujiunga nanyi 🐒

Tatizo la Tatu ni chuki..
Hakuna mipango, hakuna mbinu, haukana weledi katika kujenga hoja wala ushawishi, just kuchoshwa tu na kuichukia CCM ndio hoja ya mimi kuungana na nyumbu 🤣

Tatizo la nne you always mis the target 🐒 hajulikani huwanadai nini hasa.
Nadhani hamjui mnachodai 🐒
 
Umetumia maneno mengi sana ila yote hayana maana kwa sababu haujaja na solution, nimeamua kukupuuza.
 
Back
Top Bottom