Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

.Wahoji ushawishi wao ulipoishia .Wasifu Uamuzi wa serikali kutoyaingilia Na James Mtokambali Zikiwa zimepita siku 11 tokea Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema,Freeman Mbowe...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya polisi kutoa tamko la maandamano kufanyika nchini, kila kona ni sifa tu kuwa 4R zimefanyiwa kazi, demokrasia imekuwa nchini, mama ametenda na kadha wa kadha, huku pongezi za akina...
3 Reactions
9 Replies
927 Views
Yaani CCM yangu, hata uwe mbumbumbu kiasi gani, tunachojali ni uwe na uwezo wa kutuletea ushindi tu. Kwa kifupi uwe la saba, uwe na cheti feki, uwe hujasoma, uwe mchawi, uwe tajiri, uwe profesa...
0 Reactions
2 Replies
389 Views
Habari JF , hivi nini kitatokea CDM wakiruhusiwa waandamane ? Mbona ni kama maisha yataendelea hawata kuwa na madhara yoyote na Rais Samia atapata points za kuwa mwana demokrasia . Binafsi...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Ushauri kwa serikali kama kuna wakimbizi wamekaa zaidi ya miaka 5 wapewe Uraia tena bila masharti ili waanze kuchangia kwenye maendeleo badala ya kuwekwa kwenye makambi. Ni kitu cha kawaida kuwa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
15 January 2024 Amesema siku hiyo kama kuna watu watajibadilisha kuwa takataka watabebwa. MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ATANGAZA SHUGHULI NYINGI ZA WAZI ZA UMMA ZITAKAZO WATINGA WATENDAJI WOTE...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi nadhani wimbo wetu tukufu wa taifa unafaa kubadilishwa hasa pale panaposema WABARIKI VIO-NGOZI WETU maana haiwezekani tukawa tunawaombea baraka viongozi matapeli, wanyanyasaji na...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Dr. Sisimizi Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Je, 1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania? 2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Wakuu, Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa sayansi ya siasa, chama cha siasa kina nia moja tu, kukamata dola na kuwahudumia wananchi wote. Mhe. Rais amesema kuna vyama vina nia tofauti. Je, ni tofauti na hiyo nadhalia ya...
0 Reactions
3 Replies
777 Views
Mnajua kabisa kuwa hakuna mfanyabiashara atakayeshusha bei ya sasa 3800-5000 Tsh per kilo. sasa muuzaji asiyefuata bei hiyo namshitaki wapi/natoa taarifa wapi? Au nyie mamlaka ya sukari nachukua...
0 Reactions
8 Replies
813 Views
Wakuu Mitaa inaongea, Kwa tathimini yangu ndogo nimejirizisha pasipokuwa na Shaka kwamba kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika Kwa kili kinachoenda kutokea Watanzania waliochaguliwa kuandamana...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , leo Jumatano , 18/1/2023 amekutana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania , David Concor . Wawili hao wamezungumza mambo...
18 Reactions
87 Replies
6K Views
WanaJf, Salaàm! Kero nyingi za watanzania zimetatuliwa kupitia UTEKELEZAJI wa Ilani ya uchaguzi. Umeme upo Maji yapo Barabara zipo Mikopo kwa wanafunzi ipo Uwezeshaji wanawake, walemavu, na...
0 Reactions
3 Replies
713 Views
Watu wengi tumekuwa Tunaitupia LAWAMA nyingi sana TANESCO kutokana na Upatikanaji mdogo wa Umeme na Katikakatika ya mara kwa mara ya Umeme. Swali langu kwa mnaoilaumu TANESCO. Je, mmewahi...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO, DEVID LEVI NKINDIKWA KUHUSU MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI LEO TAREHE 22/7/2023 1. UTANGULIZI MKATABA WA IGA BAINA YA TANZANIA NA EMIRATE YA DUBAI Pamoja na Maoni...
6 Reactions
7 Replies
4K Views
Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Kama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli, Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana. CCM...
10 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom