Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda". Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa...
24 Reactions
71 Replies
4K Views
Nyuzi zangu zote huwa zinapotezwa, ukibaki huu, nauliza Mfumo ni nini? Ni Mazingira ya kuwasaidia walalahoi wainuke au ni mazingira ya kuchukua kila cha walalahoi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu zangu Watanzania, Fahamu ya kuwa Ndugu Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM...
8 Reactions
161 Replies
7K Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba , Viongozi wa Chadema wataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu , Kinondoni , D'salaam. Taarifa za Nyuma ya Pazia...
8 Reactions
42 Replies
8K Views
Citizen TV wameripoti kuwa Waziri wa Foreign wa Tanzania mh Makamba anawasiliana na Waziri Kiongozi wa Kenya mh Mudavadi kumaliza tatizo la kufungiwa Ndege za Kenya kutua Tanzania Tuwaombee...
4 Reactions
33 Replies
19K Views
Hilo ndilo swali huwa najiuliza siku zote. Wazi huwa yapo mambo mengi ambayo kwa macho ya kawaida kabisa, huhitaji Vyombo vya Dola viikemee Serikali inayoongozwa na CCM kwa kuhatarisha usalama wa...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwenye ardhi kuna utapeli wa kila aina ndio mana lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi alipiga marufuku baadhi ya makampuni yaliyokuwa yanapima viwanja na kuuza maana walisababisha migogoro mingi sana...
1 Reactions
1 Replies
666 Views
"Mbona Polisi mnawaonea sana watu maskini, mtu ametekwa miaka mitatu iliyopita, eneo lake limechukuliwa na mtuhumiwa mnayemjua na kujengwa kiwanda lakini hamchukui hatua yoyote". "Basi kama...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita...
2 Reactions
109 Replies
6K Views
Habari wana JF, Ndugu zangu wana JF, sisi wengine hatujakwenda shule hivyo ni vyema kuitafuta elimu kwa wajuzi. Hivi panapokua na Serikali goigoi; Serikali inayofanyakazi kwa mazoea na kwa...
2 Reactions
8 Replies
453 Views
Naona tuje na maandamano ya amani ya kupinga yanayoendelea kuhusu umeme Kila kiongozi kapuuza matatizo yanayoendelea kwa sasa Nashauri tuanzishe vuguvugu la maandamano ya amani tu kuhusu umeme...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Peter Kapala, leo Januari 29, 2024 wamefanya kikao kilicholenga kujadili nia ya Serikali...
0 Reactions
1 Replies
774 Views
Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kazi ya Katibu wa Itikadi,uenezi na Mafunzo ni kukisemea na kukitolea taarifa chama kinapokua kwenye utekelezaji wake. Sasa Kaka Bashite aneacha wajibu wake anafahya...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Niko Hapa Sea Boys Magomeni mapipa na kuna mjadala unaendelea baada ya Umeme kukatika Wakazi wa mitaa hii wanamuona Makonda kama mtu anayeweza kuzungumza Matatizo na kero zao Bila woga Mzee...
1 Reactions
9 Replies
711 Views
Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi. Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni...
16 Reactions
69 Replies
4K Views
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) limemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa viti maalum...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hafuati taratibu zozote, Ujaji ni wake, uhakimu ni wake, uwakili ni wake, ushauri ndoa ni wake, ukulima ni wake, uzalishaji viwandani ikiweno sukari ni wake, uongozi wa kibabe ni wake, ukada zaidi...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mwamba Mwenyewe wa Siasa Mheshimiwa Paul Makonda ataanza kuunguruma kwa kishindo cha simba katika mikoa ishirini bila...
5 Reactions
105 Replies
5K Views
BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…