Waziri Makamba kukutana na Waziri Mudavadi kumaliza tatizo la ATCL na Kenya Airways

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,981
Citizen TV wameripoti kuwa Waziri wa Foreign wa Tanzania mh Makamba anawasiliana na Waziri Kiongozi wa Kenya mh Mudavadi kumaliza tatizo la kufungiwa Ndege za Kenya kutua Tanzania

Tuwaombee

Mlale Unono 😀
---
Tanzania's Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, January Makamba, has said that Tanzania and Kenya have agreed to resolve the Nairobi - Dar es Salaam flight ban dispute within three days.

"I spoke to my Kenyan colleague, Musalia Mudavadi. We agreed that restrictions on air travel between our countries and from any of our countries to a third country shouldn’t stand. With relevant authorities, we’ve resolved to settle this issue, per existing agreements, within 3 days.
 
Kwanini tusilirejeshe Shirika la Ndege la East Africa tukichanganya Ndege zetu za Kenya na Rwanda Uganda tunakuwa na mtaji mzuri sana.
Hao mbwa walisubiri vitu vyote zikiwemo ndege ziwe Kenya,ndo wakatangaza kujitoa EAC ile ya mwanzo,ndege moja tulifanya kwenda kuiiba,meli yetu ipo Mombasa wamefanya hotel,hao siyo watu wa kufanya nao kolabo,hiyo EAC ife tu,wabaki umoja na wasomali
 
Citizen TV wameripoti kuwa Waziri wa Foreign wa Tanzania mh Makamba anawasiliana na Waziri Kiongozi wa Kenya mh Mudavadi kumaliza tatizo la kufungiwa Ndege za Kenya kutua Tanzania

Tuwaombee

Mlale Unono
---
Tanzania's Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, January Makamba, has said that Tanzania and Kenya have agreed to resolve the Nairobi - Dar es Salaam flight ban dispute within three days.

"I spoke to my Kenyan colleague, Musalia Mudavadi. We agreed that restrictions on air travel between our countries and from any of our countries to a third country shouldn’t stand. With relevant authorities, we’ve resolved to settle this issue, per existing agreements, within 3 days.
Tunaenda kupigwa tu kipara hakuna ajualo
 
Hao mbwa walisubiri vitu vyote zikiwemo ndege ziwe Kenya,ndo wakatangaza kujitoa EAC ile ya mwanzo,ndege moja tulifanya kwenda kuiiba,meli yetu ipo Mombasa wamefanya hotel,hao siyo watu wa kufanya nao kolabo,hiyo EAC ife tu,wabaki umoja na wasomali
Ina maana nyerere alikuwa mjingamjinga, haiwezekani kenya waamue tu kuchukua ndege zote kama ziligharamiwa na nchi shirikishi, wakati kila leo ndege za ATCL zinakamatwa na kesi za hela ndogo tu
 
Makamba acha kukurupuka, ni mapema sana kuanza mazungumzo, tulia kwanza na achana na media kwa sasa, hii tabia ya Kenya kuzuia just license ya ku operate nchini kwao hadi tuzuie ndege zao ni akili? Huu mchezo unatakiwa ukome na uache kujirudia, epuka mazungumzo ya zima moto , jipe muda walau mwezi mmoja .
 
Wakati wa kifo cha East African Airways Kenya ilizuia ndege zote isipokuwa iliyo toroshwa na rubani wa Kitanzania
Hawa hawafai
Kwasasa hata tukiachana tunagawana Ndege kipindi kile cha Cold War tofauti sana na sasa.
 
Ina maana nyerere alikuwa mjingamjinga, haiwezekani kenya waamue tu kuchukua ndege zote kama ziligharamiwa na nchi shirikishi, wakati kila leo ndege za ATCL zinakamatwa na kesi za hela ndogo tu
Tulipoteza ndege lakini tumepata majengo, vichwa vya train na baadhi ya zana za baharini.
Istoshe nchi hizo baadaye zilimleta msuluhushi toka barani Ulaya kuja kuhesabu na baadaye kugawana mali na madeni ya jumuiya hiyo iliyovunjika
 
Hao mbwa walisubiri vitu vyote zikiwemo ndege ziwe Kenya,ndo wakatangaza kujitoa EAC ile ya mwanzo,ndege moja tulifanya kwenda kuiiba,meli yetu ipo Mombasa wamefanya hotel,hao siyo watu wa kufanya nao kolabo,hiyo EAC ife tu,wabaki umoja na wasomali
Kwanini unataka EAC ife lakini unataka Zanzibar ijitenge iungane na Omani?
 
Back
Top Bottom