CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama. Je, Ratiba ya Maandamano kutolewa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,741
218,330
Screenshot_2024-01-16-22-14-56-1.png

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba , Viongozi wa Chadema wataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu , Kinondoni , D'salaam.

Taarifa za Nyuma ya Pazia zinadokeza kwamba huenda Ratiba kabambe ya Maandamano ikiwa ni pamoja na barabara zitakazotumika vitawekwa wazi.

Kama kawaida mimi mtumishi wenu nitawaleta kila kitakachozungumzwa.

Usiondoke JF kwa taarifa za Uhakika.
 
Unatuuliza au unajiuliza muandishi wa mchongo lazima jeshi lifanye usafi kitambo eti tangu kipindi shujaa wa Africa jiji halijafayiwa usafi!
 
View attachment 2874019

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba , Viongozi wa Chadema wataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu , Kinondoni , D'salaam

Taarifa za Nyuma ya Pazia zinadokeza kwamba huenda Ratiba kabambe ya Maandamano ikiwa ni pamoja na barabara zitakazotumika vitawekwa wazi

Kama kawaida mimi mtumishi wenu nitawaleta kila kitakachozungumzwa

Usiondoke JF kwa taarifa za Uhakika
Yaani Ofisi ndogo ipo Kinondoni, Ofisi kuu mikocheni 😁😁😁 nyie watu mnafanya vichekesho sana
 
Viongozi wa Chadema wataongea na Waandishi wa habari kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu , Kinondoni , D'salaam.
Kama Chadema tayari wanayo makao makuu ya kisasa Mikocheni, iweje tena Press Co muhimu hivi kuendelea kufanyika Ufipa?!.

Nawashauri Ufipa pafanyeni ni ofisi ya Mkoa wa Dar es Salaam!.

Hoja ya ofisi ya Chadema pale Ufipa iliwahi kunisababishia kula ban, sababu member wenu mmoja alidanya humu kuwa Chadema imepanunua pale Ufipa ni mali ya chama, kumbe ni uongo, pale Ufipa, Chadema imepanga, the landlord namjua na rent pia naijua!. Ofisi ya Mikocheni pia Chadema imepanga na landlord namjua na rent pia naijua. KM wa Chadema, JJ. Mnyika ni mtu very bonafide genuine, hafanyi siasa za maigizo hivyo Press conference yake anaifanyia Ufipa!. This is good, this is real politics ya siasa za kweli sio siasa za maigizo!.

P
 
Waje, wengine tangu kumaliza depo hatujafanya mafunzo kwa vitendo ya kutuliza ghasia. Hii ni fursa kubwa sana kwetu, Mungu asaidie itokee.

Mkuu wa Magereza na yeye alete kikosi maalum vha kuzuia fujo magerezani.
 
Sema brother wewe ni Chadema die-hard. Kama haupo kitengo cha Idara ya Habari hapo makao makuu, basi hutendewi haki. Unapaswa uwe afisa wa chama.
 
Kama Chadema tayari wanayo makao makuu ya kisasa Mikocheni, iweje tena Press Co muhimu hivi kuendelea kufanyika Ufipa?!.

Nawashauri Ufipa pafanyeni ni ofisi ya Mkoa wa Dar es Salaam!.

Hoja ya ofisi ya Chadema pale Ufipa iliwahi kunisababishia kula ban, sababu member wenu mmoja alidanya humu kuwa Chadema imepanunua pale Ufipa ni mali ya chama, kumbe ni uongo, pale Ufipa, Chadema imepanga, the landlord namjua na rent pia naijua!. Ofisi ya Mikocheni pia Chadema imepanga na landlord namjua na rent pia naijua. KM wa Chadema, JJ. Mnyika ni mtu very bonafide genuine, hafanyi siasa za maigizo hivyo Press conference yake anaifanyia Ufipa!. This is good, this is real politics ya siasa za kweli sio siasa za maigizo!.

P
Anaifanyia Ufipa ambako nako wamepanga ! Duuu !!!!
 
Hivi kwanini CCM wanahofia maandamano hata kama ni ya amani? 🤔
 
Back
Top Bottom