Naunga mkono hoja ya Mbunge,ni aibu hii Serikali ambayo haijigunzi Kwa makosa ya awali.Just imagine DaRT imewashinda na inapata hasara, daladala za mtaani zinapata faidia,Sasa kuuza mkaa ndio...
Hili hapa andiko la Mhandisi Ndolezi Petro ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 29 Februari, 2024...
Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho.
Tutarajie siasa za hoja, na sio za...
Itoshe kusema kwa muda sasa tangu kuondoka kwa aliyekua Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siasa za Tanzania zilipoteza mvuto.
Zile shamrashamra za kufatilia shughuli za kisiasa ziliisha...
Ndio maana hata maandamano yao yalidorola.
Wananchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda ambaye anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.
Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi...
CHADEMA ya sasa inazidi kuwa goigoi japo mpira uko upande wao ila gori hawalioni wafunge gori, iwe makusudi au kwa bahati mbaya.
Kazi anazofanya mwenezi wa mbogamboga ndio kazi ilitakiwa kufanywa...
Serikali kupitia wizara ya Fedha inaomba maoni yako kuhusu vile unatamani sheria za kodi kwa mwaka ujao wa fedha ziwe.
Kipi kiongezwe, kipi kiondolewe kodi, kipi kipewe unafuu wa kikodi etc. Toa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Unajua watoto unaweza kuwaridhisha na vitu vidogovidogo. Yaani wanaweza kulia hadi wanabadilisha Gia kama kupanda Kitonga. Hata hivyo unaweza usihitaji vingi, wakati...
Nimeshangazwa sana na MAKADA wa CCM kuhoji RUZUKU ya CHADEMA ya BIL.2.7 fedha ambazo kwa CCM ni pesa ya MBOGA tu .CCM inapokea zaidi ya mara 10 ya RUZUKU inayopokea.
Na CHADEMA na hakuna hata...
ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt.Wilbroad Slaa amesema pamoja na kutokushiriki katika siasa za jukwaani lakini hataacha kushirikisha uzoefu wake kwa vijana ili wautumie katika...
Watu wanaoidai serikali wamepigwa marufuku kuiumbua serikali kwa mabango. Wafanyabishara wa mkoa wa rukwa waliokwama kuelewa lengo la Makonda waliandaa mabango yao; finally walilala ndani hadi...
Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Tunguu kimekanusha taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kumwita Mwaakilishi wa Jimbo hilo kwaajili ya kumhoji kwenye kamati ya maadili
Akizungumza na wasafi...
Wakuu heshima kwenu
Naomba nielezee mada yangu kwa maneno machache Sana naamini inaeleweka
Kwanza nikiri kwamba serikali Ina mchango wake kidogo Sana katika mafanikio ya MTU binafsi. Ila sehemu...
Bunge linaendelea Dodoma lakini vyombo vya habari vimeziba masikio kuhusu kinachoendelea.
Sometimes hata zile sekunde za taarifa ya habari hazigusi yanayojiri bungeni.
Je, bunge limeshuka...
Hii nchi kuna mambo ambayo ni vigumu kuelewa yanaendeshwa kwa nguvu gani.
Waziri amefanya tathimini akaona viatu vimezidi kuwa vikubwa akakaa pembeni; Mamlaka ya uteuzi ikakasirika. Je, walitaka...
(1) Freeman Mbowe
Yule wa mwaka 2005-2015, alikuwa mpinzani kweli kweli, chuma hasa hasa! Alikuwa mhimili sio tu kwa chadema Bali kwa vyama vyote vya upinzani.
Kwa sasa amekata pumzi anapigania...
Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia...
Paul Makonda baba Keagan tafadhali tunaumizwa huku.
Ni miezi na miezi maji hayatoki tunaendelea kukosa pamoja na mvua na mafuriko makubwa wakati maji hayohayo yakotoka baadhi ya maeneo.
Leo...