Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,006
- 1,171
Wakuu heshima kwenu
Naomba nielezee mada yangu kwa maneno machache Sana naamini inaeleweka
Kwanza nikiri kwamba serikali Ina mchango wake kidogo Sana katika mafanikio ya MTU binafsi. Ila sehemu kubwa ya mchango wa mafanikio ya MTU inategemea MTU mwenyewe alivyo.
Sina Nia mbaya kumsema Mkt Mbowe Wala sipo kutetea maeneo ambayo serikali inashindwa kutimiza wajibu wake
Ila nasikitika Mkt Mbowe kutokueleza vijana ukweli kwamba serikali Ina mchango mdogo Sana katika mafanikio yao binafsi. Mfano ni yeye mwenyewe pamoja na historia ya utajiri wa familia lakini Mbowe ameonyesha uwezo mkubwa wa kuendeleza Biashara za familia na kuendelea kutajirika NDANI serikali ile ile ambayo anailuma Kila siku
Pili lingine linanoliniumiza sijawahi kusikia Mbowe akiwashauri hata viongozi wenzake kuhusu uwekezaji binafsi nje ya siasa kitu kinachofanya wenzake kutetereka au kuumia zaidi wakati wa kufanya maamuzi kama kukataa ruzuku au kujitolea huku wakiwa na familia zinazowategemea
Hata wakati Yuko NDANI naamini miradi yake ilikuwa inaendelea kutengeneza faida huku wenzake wakiwa hoi baada ya kupoteza ubunge na nafasi zingine
Sijui ni ubinafsi au ni makusudi ili aendelee kuonekana mfadhili pekee wa chama sifahamu
Ila naamini Kama mwanasiasa mkomavu anapoelekea kustaafu moja ya mokosa inabidi akiri hili Kama Mwl Nyerere alivyokiri baadhi ya makosa yake