Djob Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 232
- 181
Itoshe kusema kwa muda sasa tangu kuondoka kwa aliyekua Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siasa za Tanzania zilipoteza mvuto.
Zile shamrashamra za kufatilia shughuli za kisiasa ziliisha au zilipungua kwa kiasi kikubwa. Katika ofisi za umma unaweza kujibiwa chochote na usifanye lolote. Wiki iliyopitaNikiwa kwenue viunga vya mkoa wa kigoma nilishuhudia wakuu wa ofisi mbalimbali wakitetemeka na kujiandaa na ujio wa mwenezi makonda.
Baada ya ziara ya mikoani ya mwenezi kuna haja mwenyekiti wa chama tawala atengue uteuzi wa mwenezi na badala yake mheshimiwa makonda ateuliwe kuwa mkurugenzi wa shule ya uongozi na shule ya uongozi iwe ni lazima kwa kila mkuu wa idara na kiongozi yoyote atakae teuliwa kuongoza taasisi ya umma.
Ziara zake zimeonyesha viongozi wengi wamechaguliwa kwa Bahati mbaya hawakujiandaa kuwa viongozi na ndo maana wameshindwa kitatua matatizo yaliyo kwenye jamiii wanazozihudumia.