CHADEMA mmepokea ruzuku inayotakana na uchaguzi au uchafuzi?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,948
1707136485431.png
 
labda tujue utaratibu wa kupata ruzuku ukoje kwa vyama vya siasa
Hupata ruzuku kutokana na uwakilishi bungeni, chadema kupata ruzuku ni haki yao kwani wana wabunge takribani kumi na ushee bungeni,
Chadema ingelikuwa ni chama safi na kinachojibainisha kutowatambua wabunge waliopo Bungeni kilistahili kugomea fedha hizo na kuziita fedha chafu, kinyume chake wamezipokea kama muhuri wa kuonyesha tunao uwakilishi bungeni.
Nawahurumia sana nyumbu za Chadema, hazisomi hata mwelekeo ulivyo!
IMG_20240205_154058_448.jpg
 
..Na Ccm wanaojichotea mabilioni ya ruzuku inayotokana na wizi wa kura unaona hawastahili lawama na laana za wananchi?
 
View attachment 2895114
Nyumbu ni wewe mwenyewe. Very stupid
 
Kwani c walisusa? Ingekuwa wana msimamo wangekataa na hiyo uchaguzi c ulikuwa batili
Halafu wakisuasa? Uje utafute Chaka lingine la kuwaponda?. Mnajifanya mnauchungu na Ruzuku ya CHADEMA wakati CCM anayepokea bilioni 47 mnamlamba matako na kumsujudia. Very stupid
 
..Na Ccm wanaojichotea mabilioni ya ruzuku inayotokana na wizi wa kura unaona hawastahili lawama na laana za wananchi?
Mwenye macho haambiwi Tazama, wanachapa kazi, ndiyo wanaoendesha serekali hasa kusimamia, Makonda anashuka mpaka kule ndani ndani kabisa kuona shida za watanzania na kujaribu kuikumbusha serekali juu ya madhaifu ili kuyamaliza hatuoni hata hili, chadema wao wakipata sijui hata nyie wajumbe makumbuka kwa vibendera vya Matawi.
 
Halafu wakisuasa? Uje utafute Chaka lingine la kuwaponda?. Mnajifanya mnauchungu na Ruzuku ya CHADEMA wakati CCM anayepokea bilioni 47 mnamlamba matako na kumsujudia. Very stupid
Ungepewa nynyi musingepokea? Leta haja nyngin hy dhaifu sana kama misimamo ya chadema wazee wa kwenda na upepo
 
Chadema ingelikuwa ni chama safi na kinachojibainisha kutowatambua wabunge waliopo Bungeni kilistahili kugomea fedha hizo na kuziita fedha chafu, kinyume chake wamezipokea kama muhuri wa kuonyesha tunao uwakilishi bungeni.
Kwakweli hapa chadema ilisukumwa na njaa na siyo akili.
 
Mwenye macho haambiwi Tazama, wanachapa kazi, ndiyo wanaoendesha serekali hasa kusimamia, Makonda anashuka mpaka kule ndani ndani kabisa kuona shida za watanzania na kujaribu kuikumbusha serekali juu ya madhaifu ili kuyamaliza hatuoni hata hili, chadema wao wakipata sijui hata nyie wajumbe makumbuka kwa vibendera vya Matawi.

..Ccm inapokea billion 1.33 kila mwezi.

..fedha hizo ni nyingi mno ukizingatia umasikini unaowakabili Watanzania.
 
Chadema wanajitekenya na kucheka wao wenyewe!
Chadema ni genge la wahuni!
Chadema wamepojea bilioni 2.7 za ruzuku walizogomea kwa kutoutambua uchaguzi.
Sasa wamezipokea kimya kimya kwa mgongo wa nyuma.
Kisha wanayaswaga manyumbu yao eti kwenda UN!
Chadema ni wahuni watupu!
 
..Ccm wanapokea 1.33 billion kila mwezi kutokana na kupora uchaguzi.
 
Hupata ruzuku kutokana na uwakilishi bungeni, chadema kupata ruzuku ni haki yao kwani wana wabunge takribani kumi na ushee bungeni,
Chadema ingelikuwa ni chama safi na kinachojibainisha kutowatambua wabunge waliopo Bungeni kilistahili kugomea fedha hizo na kuziita fedha chafu, kinyume chake wamezipokea kama muhuri wa kuonyesha tunao uwakilishi bungeni.
Nawahurumia sana nyumbu za Chadema, hazisomi hata mwelekeo ulivyo!
View attachment 2895114
MGAWANYO HUWA UKOJE
 
Back
Top Bottom