Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Na. M. M. Mwanakijiji
Unajua watoto unaweza kuwaridhisha na vitu vidogovidogo. Yaani wanaweza kulia hadi wanabadilisha Gia kama kupanda Kitonga. Hata hivyo unaweza usihitaji vingi, wakati mwingine maneno tu yanatosha.
Au unaweza kumpa peremende atanyamaza na kulia kwa kujibembeleza hadi usingiza case closed.
Au toa ahadi tu..kama utaitekeleza ni jambo jingine la maana ni iwe ahadi ya kuaminika. Utampeleka fulani au ukienda Dukakis utamletea nini au kitu fulani anachotamani.
Au mpige mkwara kuwa akiendelea kulialia basi HATOPATA kitu fulani. Mtoto mwenye kujielewa anaweza hata kuanza kujichekelesha utadhani alikuwa halii.
Au unaweza kumpa kile anachotaka wakati huo ili anyamaze lakini kwa masharti kuwa asilie tena na akilia hicho ulichompa utamnyang'anya umpe mtoto mwingine!!
Ukiangalia wakati mwingine kama siyo mwingi Watanzania tunakuwa hivi...
Ukitaka tunyamaze tusipige kelele sana au tusilie..basi...njoo na majibu rahisirahisi au tufanyie mambo madogomadogo...

- Angalia mafuriko
- Angalia barabara
- Angalia umeme
- Angalia Bunge
- Angalia CCM na Upinzani kama movie ya IP Man!