ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,107
- 49,809
Naunga mkono hoja ya Mbunge,ni aibu hii Serikali ambayo haijigunzi Kwa makosa ya awali.Just imagine DaRT imewashinda na inapata hasara, daladala za mtaani zinapata faidia,Sasa kuuza mkaa ndio wataweza?
Watu wa Serikali hasa nyie Wasomi mbuzi mnatakiwa kuelewa kwamba biashara inahitaji msukumo binafsi wa ndani wa mtu ambao huwezi upata kwenye mambo ya Umma.
Wacheni private sector ifanye biashara nyie wezesheni na mchukue Kodi.
Angalia Walianzisha kampuni ya Mafuta TanOil licha ya kupewa mtaji wa bil.100 lakini hiyo kampuni imepata hasara ya bil.20 ,hizi ni akili au upumbavu?
Majitu ya Nchi hii sijui yakoje ,ni hovyo hovyo kabisa Kila sehemu.Inaudhai sana.
View: https://www.instagram.com/reel/C3BPYB9MTs7/?igsh=MWFtaWlucHJxem15eA==