Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
59,043
103,447
Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho.

Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi, ruzuku ya 2.7b nk
 
Siku hizi hasikiki kusema Makonda anahusika na tukio lake.

Alikuwa analia viongozi wa CCM hawakwenda kumuona Nairobi, Halima Mdee anauguliwa hata hajaenda kumuona mgonjwa. Unaweza kudhani ana misimamo, kumbe ni miksa roho ya kikatili.
 
Kesho akiulizwa hilo swali kuhusu muhalifu Makonda atasema uhusika wake.

Lisu haendi kumsalimia mama yake Mdee na makamera. Labda useme Lisu alipokuwa Nairobi Halima Mdee na mama yake walienda kumtembelea wakiwa na makamera kwa ajili ya kujionyesha ni watu wema.
 
Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho. Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi, ruzuku ya 2.7b nk
Asante kwa taarifa, sijui umeinyakia wapi maana haijatokea Ufipa, ingeletwa na yule mtoa taarifa wao.

Hii sio ya kukosa, haswa ile segment ya msumari wa moto.
P
 
Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho.

Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi, ruzuku ya 2.7b nk
Tunaomba frequency ya wasafi fm
 
Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho.

Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi, ruzuku ya 2.7b nk
Ushahidi huu hapa

Screenshot_2024-02-06-21-34-03-1.png
 
Kesho kwa kuwa nipo siendi kwenda tafuta mkate wa Kila siku itanilazimu kufuatilia online

Tanzania kunasehem bado mfumo wa chama kumoja unafanya kazi

Ni ngumu redio kufikika
 
Yaani niache kazi zangu mda huo nisikilize mtu analilia tumbo lake.

Mkuu unatakiwa uwahi kibaruani maana kumsikiliza Tundu Lisu ni kutaka kupata heart attack bure, maana hana lugha za kichawa kabisa, na muda wa kumsifia mama ndio haupo kabisa kwenye ulimi wake. Lakini kwa taarifa yako majizi yote ya kura ya ccm kesho ni siku ya kulambishwa mchanga. Fuatilia taarifa humu mitandaoni baada ya yeye kuharibu hali ya hewa upate mrejesho.
 
Aliyewahi kumuona Tundu Lisu akitoa msaada popote aweke video hapa.

Kuna watu hapa duniani wao ni kuombatu
Hii comment ya kipuuzi naona unairudia kila mahali
Tukuulize ulitaka asaidie nini na wewe umeshasaidia nini na video zako ziko wapi

Kupitia taaluma ya sheria unajua Lisu amesaidia wangapi mpaka sasa
Unajua umaarufu wake ulianzia wapi

Kuwa specific kwa ulitaka asidie nini
 
Back
Top Bottom