Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amempongeza Rais wa awamu ya 6 Samia Kwa kutoa pesa nyingi kwenye miradi mbalimbali hasa Tamisemi.
Amesema hayo wakati akikagua ujenzi wa Shule Mpya ya...
Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mnamo tarehe 12 hadi 14 Januari 1964, na yalikuwa harakati za kisiasa zilizosababisha kubadilika kwa utawala na kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar...
Nchi nzima ipo gizani sukari kilo 5,400 mtu anakuja kukuomba kura kwa tiketi ya CCM hakuna haja ya kumuuliza swali maana akija akikuta umeme sukari hataikuta, akikuta sukari umeme hataukuta. CCM...
Siasa na Uchumi vinaenda sawia na Siasa Safi ndio hupelekea Uchumi bora
Kinara wa Siasa za Tanzania kwa sasa ni kijana mdogo kabisa mwenye maono ya Kisayansi Komredi Makonda
Tuzidi kumuombea...
Ukweli ni kwamba kuendesha nchi kwa mchango wa uchumi wa tujiviwanda hakuna umuhimu sana wa umeme kuwa wa uhakika.
Ila kama unataka sekta ya viwanda iwe na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi...
Hii nchi miaka mingi wizara ya Nishati imekuwa ikihujumiwa pale anapoteuliwa Waziri mwenye malengo ya madaraka ya juu zaidi ya uwaziri.
January hakupenda kuondolewa kwenye nafasi ile kwa sababu...
Kuna kitu nashindwa elewa, umeme unakatika kila baada ya masaa mawili, full mgao!
TANESCO wakatuambia kuna mgao kwa sababu ya mabwawa kuisha maji, sasa hivi kila sehemu mvua zinanyesha bado tu...
Nafahamu kwamba ACT wazalendo imeungana na CCM kupitia serikali ya mapinduzi Zanzibar hivyo huwezi kukiita ni Chama Cha Upinzani tena
Swali langu ni kwamba; Ukiondoa Chadema walioandamana Juzi...
Wakuu kwema
Nilikuwa nafuatilia vikao vya Bunge jana kwenye Tv.
Niseme kiukweli Mheshimiwa Tulia ackson ni mtu haswa haswa, huyu mama nimeelewa sasa Kwanini ni amekuwa raisi wa mabunge yote...
Tanzania tuna Tume ya Utumishi wa Umma. Wakati wa Mzee Ben, Tume hii ilikithiri kwa umahiri.
Nadhani Tume hii pia ifufuliwe ili ijibu hoja za uwajibikaji, badala ya kujificha maofisini. Mi mara...
Kupokea ndege mpya shughuli
Kusaini mikataba ya bomba la mafuta, shughuli
Kupokea pesa za kishika uchumba makinikia shughuli
Kupokea gawio kutoka mashirika ya umma shughuli
Kuzindua minara...
TANESCO ni moja ya sekta mbovu hii nchi haijawahi kutokea,utaifananisha na ipi Tanzania hii isiwe ya mwisho kwa huduma? Huwezi kufananisha na mawasiliano,barabara, afya ,elimu hata bandari, ni...
Mh. Rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan barabara tajwa hapo juu ni muhimu sana. Imarisha bandari ya Tanga, mikoa ya kanda za Kaskazini, kanda ya ziwa na nchi jirani za Burundi Rwanda na Uganda...
Alikua Tanzania one Form four na Form six
Ni zao la Ilboru sekondari
Mwaka 2004 alifanya Mahojino na Gazeti moja la Arusha alipotangazwa kuwa Tanzania one...
Kama Azam anaweza kuuza energy Mtwara kwa bei sawa na Dsm, TBL anauza bia Bukoba kwa bei kama Dsm,
Mwananchi anauza gazeti Mbeya kwa bei sawa na Dsm, EWURA wanashindwa nini kuwa na bei moja ya...
Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha...
Tunavyozidi kuendelea na maisha ya kila siku, hatuwezi kuacha kufikirisha bongo zetu.
Ziara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana. Kwanini iwe ziara ya ghafla hivyo? Katika mawazo yangu...
Kwa Kizungu, nchi ni COUNTRY na Taifa ni NATION.
TAFSIRI:
COUNTRY - a nation with its own government, occupying a particular territory.
NATION - a large body of people united by common descent...