Tuseme ukweli madam Tulia Ackson ni kichwa sana

The Lastdream

JF-Expert Member
Jan 23, 2024
1,587
3,498
Wakuu kwema
Nilikuwa nafuatilia vikao vya Bunge jana kwenye Tv.
Niseme kiukweli Mheshimiwa Tulia ackson ni mtu haswa haswa, huyu mama nimeelewa sasa Kwanini ni amekuwa raisi wa mabunge yote duniani.
Alikuwa anawa challenge wabunge ambao wengi wao nimeamini kichwani ni kweupe sana na hawawezi kujenga hoja kabisa mbele ya mheshimiwa Tulia ackson.

CCM ina baadhi ya watu makini sema kutokana na walio juu yao wanashindwa kufanya kazi zao kwa ufanisi mkubwa.
Mheshimiwa Tulia ackson ni jembe haswa na kichwani pamejaa madini.
Hongera Mheshimiwa Tulia ackson
 
Naunga mkono hoja
P
 
Kama ni kichwa hivyo, anashindwaje kutekeleza amri ya mahakama kuwatoa COVID 19 bungeni?

We want integrity oriented people, and not interest oriented , the likes of Tulia and Job Ndugai, the former speaker!
 
Sifa nyingine ni za kijinga kabisa, ni mzuri kwenye kutunga Sheria za kukomoa, sio za kulinda haki. Sana sana ukisema ni mzuri kwenye kutunga Sheria za kulinda watawala, ambazo hulindwa kwa mabavu hapo huenda uko sawa. Naona toka Jana Tulia kawamwaga chawa wake kumpamba humu mitandaoni.

Kama angekuwa mwanasheria nguli hivyo tungeona akiitisha minimum reforms ili kuendelea na mabadaliko ya Sheria za uchaguzi.
 
Vyovyote alivyo ana awavyo, yupo hapo kutekeleza ilani ya chama chake, chama kilichofeli kudeliver kwa wananchi wa Tanzania...
 
Wakuu kwema
Nilikuwa nafuatilia vikao vya Bunge jana kwenye Tv.
Niseme kiukweli Mheshimiwa Tulia ackson ni mtu haswa haswa, huyu mama nimeelewa sasa Kwanini ni amekuwa raisi wa mabunge yote duniani.
Alikuwa anawa challenge wabunge ambao wengi wao nimeamini kichwani ni kweupe sana na hawawezi kujenga hoja kabisa mbele ya mheshimiwa Tulia ackson.

CCM ina baadhi ya watu makini sema kutokana na walio juu yao wanashindwa kufanya kazi zao kwa ufanisi mkubwa.
Mheshimiwa Tulia ackson ni jembe haswa na kichwani pamejaa madini.
Hongera Mheshimiwa Tulia ackson
Ni kweli ndo maana amesaidia kuuza bandari
 
Tulia kichwani akili anazo. Tatizo lame kubwa ni unafiki na uchawa. Tulia ndiye spika pekee ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa bunge lipo chini ya Rais, ni lazima lisikilize Rais anataka nini.

Chawa mwingine ni Prof. Juma, naye alitamka kuwa hukumu za mahakama ni lazima zizingatie Serikali inataka nini.

Hiki ni kipindi cha kifo cha mihimili miwili, hatuna Bunge, hatuna Mahakama. Tuna Bunge na mahakama bandia.
 
Tatizo moja ni kwamba hawezi kwenda tofauti na lichama letu hata kama italazimu kuwa hivyo. 😅🙏
Lakini hiyo pia inawezekana ni kwa sababu Katiba iko vile. 🙏🙏
 
Tulia kichwani akili anazo. Tatizo lame kubwa ni unafiki na uchawa. Tulia ndiye spika pekee ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa bunge lipo chini ya Rais, ni lazima lisikilize Rais anataka nini.

Chawa mwingine ni Prof. Juma, naye alitamka kuwa hukumu za mahakama ni lazima zizingatie Serikali inataka nini.

Hiki ni kipindi cha kifo cha mihimili miwili, hatuna Bunge, hatuna Mahakama. Tuna Bunge na mahakama bandia.
Nadhani hao Wawili ndio wameweza kuwa wakweli zaidi katika kuonyesha kwamba Katiba yetu imempa madaraka makubwa sana kwa mhimili mmoja mkuu uliyojichimbia chini zaidi !
Hivyo mihimili mingine isilaumiwe sana kwa sababu hali hiyo ndivyo ilivyo na ndivyo inavyotakiwa kuwa kwa mujibu wa Katiba !
 
Sifa nyingine ni za kijinga kabisa, ni mzuri kwenye kutunga Sheria za kukomoa, sio za kulinda haki. Sana sana ukisema ni mzuri kwenye kutunga Sheria za kulinda watawala, ambazo hulindwa kwa mabavu hapo huenda uko sawa. Naona toka Jana Tulia kawamwaga chawa wake kumpamba humu mitandaoni.

Kama angekuwa mwanasheria nguli hivyo tungeona akiitisha minimum reforms ili kuendelea na mabadaliko ya Sheria za uchaguzi.
gubu
 
Kama ni kichwa hivyo, anashindwaje kutekeleza amri ya mahakama kuwatoa COVID 19 bungeni?

We want integrity oriented people, and not interest oriented , the likes of Tulia and Job Ndugai, the former speaker!
Hilo halihitaji uwe kichwa au kiazi, ni kwamba TZ kuna mhimili uliojichimia chini zaidi na huo ndio unatoa amri ya mwisho. Spika hawezi kuamua kama mhilili huo hautaki.
 
Mhimili pekee ambao unatakiwa uwe smart kichwani ni wa utawala tu mingine miwili uliyobaki muhimu uwe umeapishwa tu basi.Hiyo miwili iliyobaki Kunakuwa na remote control itakayokuwa ina sense ufanye nini na wakati gani.
 
Wakuu kwema
Nilikuwa nafuatilia vikao vya Bunge jana kwenye Tv.
Niseme kiukweli Mheshimiwa Tulia ackson ni mtu haswa haswa, huyu mama nimeelewa sasa Kwanini ni amekuwa raisi wa mabunge yote duniani.
Alikuwa anawa challenge wabunge ambao wengi wao nimeamini kichwani ni kweupe sana na hawawezi kujenga hoja kabisa mbele ya mheshimiwa Tulia ackson.

CCM ina baadhi ya watu makini sema kutokana na walio juu yao wanashindwa kufanya kazi zao kwa ufanisi mkubwa.
Mheshimiwa Tulia ackson ni jembe haswa na kichwani pamejaa madini.
Hongera Mheshimiwa Tulia ackson
Jitambulishe kwanza uwezo wako kwenye ujuzi wa sheria ili tuwe na uhakika wa madai yako, vinginevyo wewe ni papasi wake.
 
Back
Top Bottom