Hivi vyama toka Singapore, China na Vietnam vimekaa madarakani toka uhuru ila maendeleo vina waletea watu wake.
CCM sasa zaidi ya upumbavu hakuna jambo la maana wanalo tendea watu wake.
Chama...
Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa...
Bambali anapotoka Sadio Mane pamekua mjini Sasa[emoji1211]
Mane Alijenga hospitali ya kisasa yenye uwezo wa kinamama kujifungua salama mdaktari wa kutosha watoto na wazee kupata huduma nzuri...
Moja ya malalamiko makubwa kabisa ya chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na wananchi walio wengi nchini, ni kukosoa suala la wakurugenzi wa miji kuwa wasimamizi wa uchaguzi Mkuu.
Ni jambo...
Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu...
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais...
Hakuna namna Wabunge hawa wa Bunge la JMT wanaweza kufanya Mabadiliko yoyote yatakayowasaidia Wapinzani kwa Sababu Bunge zima ni la CCM
Kwahiyo Chadema wasiwachoshe Watu bure kwa Sababu hakuna...
Nawafunza somo jepesi.
Mfumo wa kikomunisti una toa mamlaka ya kuitawala kwa nchi kwa chama kimoja pekee.
Hata kama nchi ina mfumo wa vyama vingi kama China ila mamlaka ya kutawala China yapo...
Ni rahisi zaidi nchi ya kifalme au kutoka katika ufalme kuingia katika demokrasia imara ndani ya muda mfupi kuliko kutoka katika chama kimoja kuingia katika demokrasia.
Ukiangalia katika historia...
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu.
Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali.
Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
Hivi karibu mwenezi alishajaribu kuuliza kero za Jiji la Dar maana mwendokasi ni shidaa, Barbara za mitaani ni Majanga, watu wengi huduma za afya hazitoshi, mimi naona azunguke tu mwenyewe bila...
Huwezi ona pande yoyote inaweka nguvu kubwa kupata suluhisho la haya mambo zaidi ya porojo za ku hadaa watu.
1. Ukweli wa umiliki kiwanja na nyumba kati ya GSM na Makonda .
2. Ukweli kuhusu...
Wanalenga nini hasa hili kundi?
Kumuomdoa incumbet mamlakani? kwa hoja na mipango gani...
Kupata nguvu na nafasi za kisiasa kwa kushiriki na kushinda uchaguzi?
Je wanatumia mbinu na mtindo gani...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Ofisa Utumishi mmoja ambaye alihudumu katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu kwa kushirikiana na Afisa kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii PSSF wanaida...
Mjanja sana huyu jamaa!
Baada ya kuingia msituni na kudodosa kidogo nikagundua nyeti mabasi yake ya Esther kwa mwezi yanaingiza faida TU inayokadiriwa kuwa zaidi ya shilingi milioni 80 - FAIDA tu...
Rasmi tunaanza Ajenda ya Samia 2025 leo katika Jimbo letu la Ilala. Hatutazimwa na mtu wala hatutawashwa na mtu, tumeamua kumbeba na kumtetea kiongozi anayesimamia umoja katika taifa letu.
Musa...
Baraza la Vyama Vya Siasa liliketi kwa siku mbili na Wajumbe wa Vyama Vyote walitoa mawazo yao
Nilichogundua Benson Kigaila wa Chadema Ule Mchango wake ndio umebebwa positively na Watanzania wote...
Ikumbukwe kwamba Mwaka 2017 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipata mkopo kutoka benki ya dunia wa tsh billion 864 kwa ajiri ya kuongeza kina na kuimarusha gati (1-7) pamoja na...
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara.
Kama kweli...