Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji awajibishwe

neene

Member
Feb 1, 2007
48
61
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara.

Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?

Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
 
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?

Fuateni kanuni, taratibu, miongozo, maagizo na sheria. Mkileta ujuaji, ubishi na umwinyi wenu mtalia na kuloga watu kila siku.
 
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?

Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
Kwa nini upande mahindi barabarani,raia wapite wapi?, hopeless,
 
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?

Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
Kwanza kabisa pooole mno kwayaliokupata
Ila nivile tuu mnaamua kukaza fuvu
Ww kwa unavoona ni sawa eneo la kujenga nyumba yako ukakuta kuna mtu kalima tena bila taarifa?
Utafanya nn na huyo mtu humfaamu?
JIBU BAKI NALO MKUU
 
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?

Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
Mkuu, hivi tatizo la kukosa akili halikusumbui? Maana sisi tunapata shida sana kutokana na wewe kukosa akili
 
Hivi,ni sheria mpya ya kukataza kulima kandokando mwa barabara(hasa mjini kwa kipimo cha mita kadhaa)tangu lini?Kutokujua sheria siyo kinga ya wakosaji.Mkiteteana hivyo mtaanza kulima hadi ndani ya maofisi yenu.
Uko sahihi kabisa ila wangewakataza tangu wanalima na kuandaa masha,ba, namkumbuka Mzee Kikwete aliwahi kuwahoji akina Magufuli (akiwa Waziri wa ujenzi), kuwa mnawaona watu wanajenga, mmekaa kimya, wanahamia, mmekaa kimya, then ghafla mnakuja kuwabomolea. Nadhani hapa kulikua na uzembe wa kutosimamia sheria.
 
Tena akute amelima tumbaku.
Yaan tena wanabahati huku mbeya kuna eneo lipo maeneo ya iwambi walishakataza nakutoa tamko kwamba kwa saivi kilimo kisizidi urefu wa maharage kwa ilikuepusha matendo ya kiharifu hususani ubakaji na ukabaji watu asa kuna watu wanajitia unduna
Wao wanakuacha ulime,upande ,upalilie kabisaa,na kutia dawa kabisa hayo mahindi then wanakuskilizia kidogo
Baada ya hapo ni panga bisu moja balaaa linapitishwa .unabaki kulaumu mamlaka mamlaka wakati wemwenyewe ndezi
 
Mkuu, hivi tatizo la kukosa akili halikusumbui? Maana sisi tunapata shida sana kutokana na wewe kukosa akili
Kulima mjini/maeneo wanayoishi watu kuna hasara zaidi kuliko faida ya kupata mahindi ya kuchoma.
-kutengeneza mazalia na makazi ya wadudu hatari kwa afya mf.mbu,nyoka,nge,mijusi(hasa kenge wezi wa mayai na mifugo) nk.
-kupunguza au kuziba muonekano mzuri wa vyombo vya usafiri na watu wrnyewe.Hivyo ni chanzo cha ajali.
-huleta vichaka ambavyo hugeuka maficho ya vibaka na wanyama kama mbwa-koko na vimbulu wezi wa mifugo majumbani.
-ni hamasa na maficho ya wabakaji na wapendao kufanya uhuni/matusi vichakani.
-huharibu muonekano mzuri na mpangilio wa mji.Mahindi na mtama siyo maua.
-ni chanzo chema cha kufundishia watu hasa watoto udokozi wa mazao.
-ni uendelezaji wa tabia za kijima za kutotaka kuelewa shamba ni nini na barabara/makazi yako wapi.
-huzuia muonekano na mapito ya miundombinu ya umeme,maji,nyaya za simu/mkongo wa taifa na mabomba ya mafuta.
-hupunguza upana wa miundombinu yaani barabara na huduma zilizopo karibu yake.
-ni chanzo cha ugomvi wa kugombea mazao husika.
-huleta ugomvi na wapitanjia mara tu wakanyagapo,kung'oa au kugusa mazao.
Ni hayo kwa ufupi.
 
Kwani alilima ili mahindi yakatwe kabla
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara.

Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?

Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
Kwani aliyelima alilima ili mahindi yakatwe kabla hayajakomaa??

Hebu acheni kudekeza watu
 
Uko sahihi kabisa ila wangewakataza tangu wanalima na kuandaa masha,ba, namkumbuka Mzee Kikwete aliwahi kuwahoji akina Magufuli (akiwa Waziri wa ujenzi), kuwa mnawaona watu wanajenga, mmekaa kimya, wanahamia, mmekaa kimya, then ghafla mnakuja kuwabomolea. Nadhani hapa kulikua na uzembe wa kutosimamia sheria.
Mkuu,wananchi sisi ni wajanjawajanja mnoo.Huwa tunalima kiujanjaujanja kama tunapalia nyasi(wanyamwezi wanaita kukela).Kumbe ndiyo kilimo chenyewe.Utakuta tumeshapanda mahindi,mtama,karanga,maharage,kunde nk.
Ukiuliza hilo swali kwamba mamlaka ilikuwa wapi utakwama.Maana kuna "mabalozi",wajumbe wa s/mtaa,mwenyekiti,watendaji wa mitaa,watendaji kata na madiwani tunashinda nao humohumo mitaani.Lakini kuna sababu.
-na wenyewe huwa tunawapiga chenga hivyohivyo kwa kuwazevezya/kuwadanganya tukifanyacho.
-tunawavizia wakati hawapo hasa wikiendi,jioni na sikukuu.
-wengine ni ndugu zetu,marafiki,majamaa,wametuzoea sana au hata wakwe zetu.Hutuonea aibu.Kitanzania hiyo.
-wanatuogopa kwa upole wetu sana,midomo yetu mikali au uchawi.
-uzembe wao kutofuatilia kwa ukaribu.
-wakati mwingine tunawakaribisha "chai".
Ni hayo kwa uchache wake.
 
Mkuu, hivi tatizo la kukosa akili halikusumbui? Maana sisi tunapata shida sana kutokana na wewe kukosa akili
Asante sana kwa matusi. Uzuri wa JF mtu anaweza kuandika cho chote kwa sababu anayemlenga hamjui. Naambatanisha presentation "MAFUNZO MAALUM JUU YA MATUMIZI SAHIHIYA HIFADHI YA BARABARA...".
 
Attachments

  • MAFUNZO MAALUM JUU YA MATUMIZI SAHIHIYA HIFADHI YA BARABARA.pdf
    1.8 MB · Views: 3
Hivi,ni sheria mpya ya kukataza kulima kandokando mwa barabara(hasa mjini kwa kipimo cha mita kadhaa)tangu lini?Kutokujua sheria siyo kinga ya wakosaji.Mkiteteana hivyo mtaanza kulima hadi ndani ya maofisi yenu.
Mbona wengine hawafuati sheria na hakuna wanachofanyiwa?sheria za nchi hii zinawabana maskini tu ambao hawana uwezo.akina Gekul wamefanywa nini zaidi ya kufutiwa makosa lkn angekuwa Mlala hoi mpaka leo angekuwa ndani kolokoloni
 
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara.

Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda gani kukomaa mpaka akashindwa hata kutumia busara?

Watu wenye roho mbaya kama huyu bwana hawatakiwi kwenye jamii yetu.
Pole mkuu. We wakatu unapanda mahindi hukujua kama umevamia eneo la watu?
 
Kina wanaochunga mifugo pembezoni kabisa mwa barabara. Hatari sana ngo'mbe au mbuzi wanweza kuingia barabarani ghafla wakati mtu ukokwenye mwendo nao wachukuliwe hatua
 
Back
Top Bottom