RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Ikumbukwe kwamba Mwaka 2017 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipata mkopo kutoka benki ya dunia wa tsh billion 864 kwa ajiri ya kuongeza kina na kuimarusha gati (1-7) pamoja na kuimarisha mifumo ya usimamizi wa taarifa na uendeshaji katika hizo gati.
Na mda Wa mkopo ni miaka Saba ikiwa inamaana kwamba Mwaka huu 2024 inatakiwa tumalize kulipa mkopo huo
Pia uingereza kupitia idara ya maendeleo ya kimataifa (Department for international development) ilitoa dollar milion12 lengo ilikuwa kusaidia kuimarisha taasisi usimamizi na mamlaka ya bandari
Mwaka 2023 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeingia mkataba na Dp world ambapo wamepewa eneo ambalo limejengwa kwa mkopo na wamepewa msamaha wa Kodi (tax exemption)
Cha kujiuliza Dp world wamepewa kuongeza nini ukizingatia wamepewa msamaha wa Kodi?
Kwa hiyo tuseme Dp world anafaidi miundo mbinu iliyotengenezwa kwa mkopo ambao tunamalizia kuulipa Mwaka huu!
Haya mambo IPO siku yatajulikana Ni watu gani waliomshawishi raisi kufanya haya. Bila kumsahau mbarawa na wengine wanaofahamu mambo haya.