Tuzungumze mipango ya Upinzani Tanzania kuelekea 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,154
11,560
Wanalenga nini hasa hili kundi?

Kumuomdoa incumbet mamlakani? kwa hoja na mipango gani...

Kupata nguvu na nafasi za kisiasa kwa kushiriki na kushinda uchaguzi?

Je wanatumia mbinu na mtindo gani wa mawasilianao ya wao kwa wao na kuwasiliana na umma?

Na je wanayo winning formular ya kushinda udiwani au ubunge achilia mbali urais?

Wanao wagombea urais, wagombea udiwani na ubunge kweli? au macho yao yako juu juu kule ambapo kiuhalisia hawana mgombea?

Je wagombea wao watajulokana lini au hadi kukaribie kukucha kama kawaida...

Wanazo hoja kweli ili waskizwe na wananchi maana karibu mahitaji yote ya wananchi yanafanyiwa kazi...
 
Hakuna upinzani katika nchi hii zaidi ya wachumia tumbo tu. Wewe wape mfupa halafu waache hapo hapo waking'ang'aniana .akili zikiwajia muda wa chakula unakuwa umepita .
 
Back
Top Bottom