Nimeshtushwa na kasi ya Serikali ya awamu ya 6 ya kuagiza magari kupitia wakala TOYOTA TANZANIA LTD ambayo ipo chini ya familia ya Karimjee kwa wingi sana ndani ya muda mfupi.
Kupitia ofisi za...
Mchungaji Joshua amesema Yeye na Lengai walikuwa Jela pamoja na Ole Sabaya amewasaidia Wafungwa walioonewa kuachiwa Huru baada ya kuwaandikia Rufaa
Sabaya alipongezwa na Jaji kwa kuwaandikia...
Nifikie kusema wazi na bila kificho kuwa, Katibu wa CCM wilaya ya Hai, ni Mlaghai.
Amechukua nafasi aliyopewa kuwarubuni wanaccm kuwa nitafanyia hiki nitakufanyia kile
Matokeo yake anapokea...
Wanamazingaombwe walikuwa hawakosekani Mashuleni tena walipendelea Kuvaa Makoti ya Kijani na Suluari nyeusi
Wale Jamaa sijasikia habari zao zama hizi, hivi waliendaga wapi?π
Ni jambo la kushukuru Mungu kwamba, binafsi nimeishi wakati wa Marais wote walioitawala nchi hii.
Nimeanza na Mwl na Sasa Samia suluhu Hassani.
Ukweli usemwe, Jm Kikwete looks the best president...
Nchi yetu ina kikundi kidogo hatari kinachoibagaza nchi kupitia kwenye siasa kundi hili ndilo halitaki taifa lipige hatua kwenye rel umeme na miundo mbinu kwa ujumla wapo tayari kutumia njia...
Naanza kwa kuwachana watanzania wenzetu hasa makundi haya muhimu .
1. Wabunge wanaojiongezea malipo yasiyo na uhusiano na Hali halisi ya watanzania
2. Viongozi kama mawaziri na makatibu wakuu...
Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari?
Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60?
Sukari!! Aibu naona mimi...
Mawaziri kivuli Bi. Kiza Mayeye uchukuzi na Bi. Halima Nabalang'anya biashara / viwanda walipuka bei za nauli, usafiri, uchukuzi na pia bidhaa kama sukari imekuwa changamoto kwa wananchi wengi...
MOMBA: "ANAYEPINGA MADAI YA SHIDA YA MAJI MOMBA AKAPIMWE AKILI"?
BAANDA ya February 2. 2024 Mbunge wa Jimbo la Momba kwenda na ushahidi wa video ikionyesha Wananchi wa Kijiji cha Lwatwe kata ya...
Binafsi siwezi kumlaumu Bashite bali lawama zangu ni kwa ccm.
Bashite huyu aliyakataliwa na dunia kuingia kwenye nchi zao,
Kwa madhambi aliyo tenda.
Lkn kwa ccm leo anaonekana shujaa kwa kupewa...
SHEREHE ZA KUZALIWA KWA CCM NA UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZA MUSOMA VIJIJINI
Sherehe za Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi zinaendelea kufana Musoma...
Nchi yetu inakuwa Kwa kasi, Ujenzi wa Makazi, Biashara,Viwanda. zinaongezeka Kila kukicha, Tunashukuru Mungu.Viongozi wetu wanapaswa kwenda na kasi hiyo katika mipango yao.
Miaka michache ya...
Yani kubadilisha jina kutoka tume ya taifa nec, hadi tume huru ya uchaguzi, ndio wanatuaminisha, teari washarekebisha, matatizo ya tume, kwa kubadilisha jina, kwahio hapo ndio teari mapungufu ya...
Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea kuhusu ziara za Makonda mikoani, na zoezi la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi. Kimsingi hali inafikirisha sana, na hapa Mwanasheria Mkuu...
Tanzania ina madhaifu makuu matatu ambayo yameshaonekana mpaka sasa DINI, RUSHWA na UJINGA (NAIVETY).
SOMO LA KWANZA: UFALME WA UJERUMANI (UJINGA or NAIVETY)
Usidanganyike, huhitaji kutumia...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Januari 2024, kinu cha kwanza kati ya tisa vilivyopo katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kitawashwa na kuruhusu uzalishaji wa...
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
Nawapongeza Namibia Kwa kuziba Pengo la ombwe la madaraka punde tuu baada ya kifo Cha Rais Huge na hivyo Kuzuia ombwe la madaraka na sintofahamu.ππ...