Sasa kumbe mambo ya Twitter aka X sio kweli bali tunapigana fix? Hivi ni nani mtunga hizi tungo tata aliyefeli namna hii kuigiza? Apelekwe Bagamoyo akapigwe refresher course kidogo.
Sent from...
Tanzania needs a new president from 2025 for a number of reasons, including:
•To address the country's economic challenges. Tanzania's economy has grown steadily in recent years, but it still...
Boniface jacob anasema:
CCM wametoa salamu za rambirambi kwa Thadei Ole Mushi siku moja kabla kifo chake.
Kwamba Thadei Ole Mushi kafariki tarehe 04 February 2024 lakini CCM salamu za rambirambi...
MSAKO ulioanzishwa na Rais John Magufuli wa kutokomeza tatizo la wafanyakazi hewa katika utumishi wa umma, umeendelea kuibua mazito, ambapo mkoani Kilimanjaro, Benki ya CRDB imejikuta ikitoa mkopo...
Hili ndilo linalohalalisha uwepo wa madarakani - kwani kila kitu kinasemwa kimefanywa na Rais Dr. Samia. Ikitokea mkawa na Rais asiyejali watu, anayetisha tisha watu, watu wanapotea, analinda...
Zamani,wakati wa Awamu ya Kwanza vijana wa Kiislamu walimshambulia Mama Sophia
Kawawa,wanamwambia ajihadhari. Mama Sophia Kawawa alikuwa amesema dini ya Kiislamu inawaonea wanawake. Wale vijana...
Rukwa.
Raia mwema amepigilia msumari kuhusu madai ya CDF ya wahamiaji haramu kuingia Nchini Kwa kumtuhumu Kigogo wa idara ya uhamiaji Mkoa wa Rukwa ambae amekuwa akiratibu na Kuendesha gange la...
Hivi ndivyo diplomasia ya Uchumi ya Rais Samia inavyoleta matunda.
Kituo Cha uwekezaji Tanzania TIC kimesema Kwa miezi 3 ya mwisho wa mwaka yaani Octoba Hadi disemba kimesajili miradi yenye...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 6, leo Januari 6, 2024.
https://www.youtube.com/live/SYTvPYLNpNk?si=ZxFlRBcsLo7LLqGU
Gharama ya kutibu wagonjwa wa sukari kwa...
Angalia maziwa ,mito na vyanzo vya maji vinavyopatikana hapa nchini. Alafu kuna watanzania wanakosa maji safi salama ya kunywa. Kodi na vyanzo kibao vya mapato vipo.
Angalia madini kama...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha (kilo ya sukari tsh 6000) pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Jijini Arusha , Maandalizi yake...
Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃.
Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe...
Mahakama yatengua makubaliano yaliyorejesha mali ya Ushirika serikalini
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imetengua hukumu ya Mahakama Kuu iliyohalalisha mkataba wa makubaliano baina ya Serikali...
Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.
My take:
Hao wataalamu walipopewa...
Mwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji.
Mbatia amesema...
Nilishangaa sana kumsikia anawasema wapinzani. Kwa nafasi alizoshika siku zote niliona akiwakosoa na kuwaelekeza wa chama chake. Jana kumsikia anawaongelea CHADEMA kwa kweli nimeshangaa sana sana!
Hata kama mambo yaliyoorodheshwa katika ile thread ya mwanzo yanaweza yakawa sio sahihi kwa 100%, lakini sio ya kuyapuuzia. Ni mambo mazito sana yanayokabili taifa letu na yanapaswa kupewa uzito...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , mapema asubuhi ya leo Jumanne tarehe 6 Februari, 2024 amefika katika ofisi za Manispaa ya...