DC wa Bagamoyo akifungia kituo cha kulea watoto

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Zamani,wakati wa Awamu ya Kwanza vijana wa Kiislamu walimshambulia Mama Sophia

Kawawa,wanamwambia ajihadhari. Mama Sophia Kawawa alikuwa amesema dini ya Kiislamu inawaonea wanawake. Wale vijana walikua wanaitetea dini.

Sijui ilivyokuwa,yale mambo yalitokea zamani sana. Wale vijana sijui walipelekwa mpaka Msasani kuhojiwa na Mwalimu Nyerere.

Lakini jambo serikali ilichokuwa inataka kufahamu,ni kwamba,ni jambo gani hasa limetokea kusababisha hawa vijana watamke fatwa kwa Mama Kawawa. Wakasema Sheikh wao ndiye anawaagiza,kwamba kila siku waitazame jamii kwa makini kuona kwamba mambo yote yanatendeka kwa kufuata dini ya Kiislamu.

Sasa imetokea hii hali,imetokea leo,kwamba huyu DC amekwenda kukifunga hiki kituo cha watoto Bagamoyo ( Kituo cha Mango). Huyu mama wa Kijerumani alikuwa anawakusanya watoto,anawapa lunch,sasa hii imemkasirisha Mkuu wa Wilaya. Amewapa lunch,ndiyo,lakini hajafuata utaratibu.

Apparently huyu mama alikuwa anawafundisha watoto Mambo ambayo ni kinyume na maadili. Amewauliza watoto maswali ya ajabu. Sasa,ni tatizo tena la watoto kuulizwa maswali. Mtoto anaulizwa,"Wewe,umewahi kufanya ngono katika maisha yako,pamoja kwamba umri wako ni mdogo,tunataka kujua kama umewahi kufanya ngono,jibu yes or no?"

Sasa,hii isiwe sababu ya kufunga kituo. Nenda pale,mpe directives unataka awafundishe watoto nini. Wapo ustawi wa jamii,wapo uvccm wanaweza kukusaidia.

Kama amekuja na wonderful rainbow philosophy,mwelekeze maadili yetu atakuelewa.

Inakuwa sasa hata ukimuona mtoto ana shida huwezi kumsaidia,utaogopa kufungwa jela miaka thelathini.
Ni sawa kweli mtoto anakula mkate,unamnyang'anya huo mkate,unautupa,unasema mkate huo una sumu?

Matatizo haya yametokea,hayawezi kujadiliwa na wakubwa bila kukatiza lunch ya watoto?

Kumbuka hawa ndio walitska kumfukuza Kamala Harris asifike Tanzania.

Acha hii hysteria kuhusu ushoga,rainbow philosophy,sijui nini. Haya ni mambo madogo. St. Paul alisemaje," Mtu anayemtumainia Yesu anaweza kuishinda dhambi"

Anasema yule DC kwamba wamepatq vielelezo ambavyo wanadhani ni incriminating.

Vielelezo viweke katika waste paper basket,halafu waeleze hao watu unataka wafanye nini.

Unaleta utumwa tu. In this case,hawa ni watoto wa chekechea,ambao unawanyima mkate at a time in their life wanapohitaji kula vizuri

Sikiliza noises in the background. Happy children playing unasema unataka kufunga kituo,unasema umeshakifunga kituo.

Na wazazi pia lazima wahojiwe. This is chaos.

Huu ni utumwa. Hata watoto wakubwa kuliko hawa wanaishi maisha ya utumwa tu katika nyumba zao.

Hawa watoto,they are not your property.
 
Kwahiyo huyo DC hajui anachofanya? Yaani kama huyo mzungu na mumewe wanafundisha ujinga na kupotosha maadili ya mtoto wa kitanzania asifungiwe kisa lunch? Kwa shule za kawaida swali la "umewahi kufanya ngono" anaweza kuulizwa mtoto wa chekechea?
 
Maadili ya kitanganyika yapo kwenye vichwa vya kitanganyika.

Huwezi kuyaona hayo maadili kwenye chapisho maalumu. Ni maadili ya kufikirika.

Hata ukijamba kwenye mkutano wa samia unaambiwa umevunja maadili ya kitanganyika.

Huwezi hata kuelewa maadili ni nini zaidi ya porojo za kusadikika.

Kujamba ni maadili, kubofoa shuzi ni uvunjifu wa maadili. Ukibinua wowowo sio utanganyika.

cocastic Lamomy Culture Me fundi bishoo Sega la asali
 
Zamani,wakati wa Awamu ya Kwanza vijana wa Kiislamu walimshambulia Mama Sophia Kawawa,wanamwambia ajihadhari. Mama Sophia Kawawa alikuwa amesema dini ya Kiislamu inawaonea wanawake. Wale vijana walikua wanaitetea dini.
Sijui ilivyokuwa,yale mambo yalitokea zamani sana. Wale vijana sijui walipelekwa mpaka Msasani kuhojiwa na Mwalimu Nyerere.
Lakini jambo serikali ilichokuwa inataka kufahamu,ni kwamba,ni jambo gani hasa limetokea kusababisha hawa vijana watamke fatwa kwa Mama Kawawa. Wakasema Sheikh wao ndiye anawaagiza,kwamba kila siku waitazame jamii kwa makini kuona kwamba mambo yote yanatendeka kwa kufuata dini ya Kiislamu.
Sasa imetokea hii hali,imetokea leo,kwamba huyu DC amekwenda kukifunga hiki kituo cha watoto Bagamoyo ( Kituo cha Mango). Huyu mama wa Kijerumani alikuwa anawakusanya watoto,anawapa lunch,sasa hii imemkasirisha Mkuu wa Wilaya. Amewapa lunch,ndiyo,lakini hajafuata utaratibu.
Apparently huyu mama alikuwa anawafundisha watoto Mambo ambayo ni kinyume na maadili. Amewauliza watoto maswali ya ajabu. Sasa,ni tatizo tena la watoto kuulizwa maswali. Mtoto anaulizwa,"Wewe,umewahi kufanya ngono katika maisha yako,pamoja kwamba umri wako ni mdogo,tunataka kujua kama umewahi kufanya ngono,jibu yes or no?"
Sasa,hii isiwe sababu ya kufunga kituo. Nenda pale,mpe directives unataka awafundishe watoto nini. Wapo ustawi wa jamii,wapo uvccm wanaweza kukusaidia.
Kama amekuja na wonderful rainbow philosophy,mwelekeze maadili yetu atakuelewa.
Inakuwa sasa hata ukimuona mtoto ana shida huwezi kumsaidia,utaogopa kufungwa jela miaka thelathini.
Ni sawa kweli mtoto anakula mkate,unamnyang'anya huo mkate,unautupa,unasema mkate huo una sumu?
Matatizo haya yametokea,hayawezi kujadiliwa na wakubwa bila kukatiza lunch ya watoto?
Kumbuka hawa ndio walitska kumfukuza Kamala Harris asifike Tanzania.
Acha hii hysteria kuhusu ushoga,rainbow philosophy,sijui nini. Haya ni mambo madogo. St. Paul alisemaje," Mtu anayemtumainia Yesu anaweza kuishinda dhambi"
Anasema yule DC kwamba wamepatq vielelezo ambavyo wanadhani ni incriminating.
Vielelezo viweke katika waste paper basket,halafu waeleze hao watu unataka wafanye nini.
Unaleta utumwa tu. In this case,hawa ni watoto wa chekechea,ambao unawanyima mkate at a time in their life wanapohitaji kula vizuri
Sikiliza noises in the background. Happy children playing unasema unataka kufunga kituo,unasema umeshakifunga kituo.
Na wazazi pia lazima wahojiwe. This is chaos.
Huu ni utumwa. Hata watoto wakubwa kuliko hawa wanaishi maisha ya utumwa tu katika nyumba zao.
Hawa watoto,they are not your property.
"hawa watoto they are not your property" unajua DC ndio anamuwakilisha rais rais wilayani na pia yeye ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hio inampa yeye access ya taarifa nyingi za kiusalama wilayani mwake kuliko wewe binadamu wa kawaida
 
Back
Top Bottom