Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 265
- 240
Hili ndilo linalohalalisha uwepo wa madarakani - kwani kila kitu kinasemwa kimefanywa na Rais Dr. Samia. Ikitokea mkawa na Rais asiyejali watu, anayetisha tisha watu, watu wanapotea, analinda maslahi yake na watu wake tu, haleti maendeleo kwa watu wake, hajali bei za bidhaa zinaongezeka, yaani kwa ujumla tuseme kunakuwa na uozo mwingi - hakika kutumia jina la Rais huyo kama kafanya kitu chochote chema kinachozidiwa na mabaya yanayokuwepo ujue ndiyo haitawezekana tena kubrand Serikali yake kwa jina lake.
Hili kidogo litokee awamu ya tano pamoja na mambo mazuri kutokea lakini yale mabaya pia yaliaanza kumbrand bwana yule kwa kasi sana mf mauaji, watu kupotea, kunyima demokrasia, kuzuia mishahara kupanda bila sababu zozote na kuwafanyia watu ubabe, hivi vyote vilianza kuibrand Serikali ile vibaya sana.
Mabaya yangezidi yale mazuri mf. usimamizi mzuri wa kazi za Serikali say kuhamia Dodoma na ujenzi wa miundombinu vingembomoa vibaya sana bwana yule!
Ninashauri tena sio vizuri sana kurefer kwa jina kuwa ..... kafanya hivi hata yale mambo yanayofanywa na Serikali. Mama mwenyewe kuna wakati alikataa hili lakini wapambe nuksi hawajawahi kumsikia!