Ila kama vile Kinana anazeeka vibaya hivi!

Nilishangaa sana kumsikia anawasema wapinzani. Kwa nafasi alizoshika siku zote niliona akiwakosoa na kuwaelekeza wa chama chake. Jana kumsikia anawaongelea CHADEMA kwa kweli nimeshangaa sana sana!
akakulisha za uso chapchap 🐒

Up cut chembe la kidevu lazma ukae 🤣
siasa huwa hatustaafu tunapumzika tu..
 
Ila kinachombeba Kinana kwa utu na uzalendo na kutowalelea watoto wake katika njia ya ulafi wa madaraka
 
Nilishangaa sana kumsikia anawasema wapinzani. Kwa nafasi alizoshika siku zote niliona akiwakosoa na kuwaelekeza wa chama chake. Jana kumsikia anawaongelea CHADEMA kwa kweli nimeshangaa sana sana!
Mimi naona kama amejiaibisha tu kuna vitu afadhali ukae kimya tu unadhani kusema kuwa CDM wamepewa 2.7bilioni ni fedhaha kwa chama mbona nyiye mmepata marakumi zaidi ya chadema.
 
Mungu ameondoa kauli za kiuongozo kwenye vinywa vya watawala.

Nilianzisha uzi namna Mungu anavyoishughulikia CCM haraka haraka
 
Mimi naona kama amejiaibisha tu kuna vitu afadhali ukae kimya tu unadhani kusema kuwa CDM wamepewa 2.7bilioni ni fedhaha kwa chama mbona nyiye mmepata marakumi zaidi ya chadema.
Katika kipindi cha miaka 3 Chadema imepata b 2.7 na CCM imepata b 47.88 bado anaionea wivu Chadema huyu atakuwa mchawi kabisa.
 
Nilishangaa sana kumsikia anawasema wapinzani. Kwa nafasi alizoshika siku zote niliona akiwakosoa na kuwaelekeza wa chama chake. Jana kumsikia anawaongelea CHADEMA kwa kweli nimeshangaa sana sana!

Hao ni wasemaji wa mama, kwa sababu by default mama sio mwanasiasa mzuri...
 
Back
Top Bottom