Asante Serikali ya CCM kwa kupunguza bei ya Vinywaji, punguzeni na bei ya mafuta

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,505
86,054
Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃.

Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo n.k

Aliyeshauri wapunguze Huko basi kawashauri Vibaya Sana, Vijana wanateketea kwa pombe. Punguzeni bei ya BANDO ili Vijana wengi zaidi waingie online kufanya KAZI na masomo kwa internet. Kipaumbele cha Vijana ni Elimu mtandao na KAZI mtandao sio POMBE

IMG-20240206-WA0008.jpg
 
View attachment 2895940
sasa ndiyo wameitikia mwito wa chadema kupunguza makali?
 
Yaani ndo Mmempunguzia mzigo mzito wa ugumu wa maisha Mtanzania ?

Yule mama anaye uza nyanya chini barabarani soko la Kilombero amenufaikaje na punguzo la ULANZI?
 
Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine hadi juice 🧃.

Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo n.k

Aliyeshauri wapunguze Huko basi kawashauri Vibaya Sana, Vijana wanateketea kwa pombe. Punguzeni bei ya BANDO ili Vijana wengi zaidi waingie online kufanya KAZI na masomo kwa internet. Kipaumbele cha Vijana ni Elimu mtandao na KAZI mtandao sio POMBE

View attachment 2895940
Ukiona hivyo, elewa kuna mkubwa kaingia kwenye hiyo biashara.
Refer kodi za maziwa..
Hii nchi ni tambara la kuchambia.
 
Back
Top Bottom