Arusha: Maandalizi ya Maandamano ya Amani yaanza kwa kishindo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,248
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha (kilo ya sukari tsh 6000) pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Jijini Arusha , Maandalizi yake yameanza kwa kishindo.

Inaelezwa kwamba Maandamano hayo yaliyopangwa kufanyika 27/02/2024 yanatarajiwa kuvunja rekodi ya mahudhurio , baada ya Wamasai wanaotimuliwa Ngorongoro kwenye ardhi ya mababu zao kujitokeza kwa wingi kuhudhuria .

Usiondoke JF , kwa vile unauelewa uwezo wetu wa kuripoti mambo haya .

Pichani ni Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini , Nabii wa Mungu Godbless Lema akiwa na Kamati yake ndogo ya Maandalizi wakipanga mikakati

Screenshot_2024-02-05-15-35-10-1.png
Screenshot_2024-02-05-15-35-07-1.png
 
Acheni ubaguzi, kwenye posho ya maandamano Mwanza mmetenga milioni 44 alafu Arusha mmtenga milioni 130!

Kuwepo na usawa katika Kanda zote.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha (kilo ya sukari tsh 6000) pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Jijini Arusha , Maandalizi yake yameanza kwa kishindo.

Inaelezwa kwamba Maandamano hayo yaliyopangwa kufanyika 27/02/2024 yanatarajiwa kuvunja rekodi ya mahudhurio , baada ya Wamasai wanaotimuliwa Ngorongoro kwenye ardhi ya mababu zao kujitokeza kwa wingi kuhudhuria .

Usiondoke JF , kwa vile unauelewa uwezo wetu wa kuripoti mambo haya .

Pichani ni Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini , Nabii wa Mungu Godbless Lema akiwa na Kamati yake ndogo ya Maandalizi wakipanga mikakati

View attachment 2895138View attachment 2895139
Barua kwa KM UN mtakabidhi wapi?
 
Nabii mwanasiasa 😄😄😄 ila Chadema mnachekesha kweli kweli

Halafu nchi ina matatizo mengi sio sukari na miswada ya sheria za uchaguzi msiwe mnapenda kutafuta Kiki ndio mana hamfanikiwi
 
Ninawapongeza sana CHADEMA kwa maandamano yenu ya amani ambayo kwa mikoani yataishia kwenye ofisi za wakuu wa mikoa ambao pia ni wajumbe wa kamati ya siasa CCM mkoa.
 
Back
Top Bottom