Mbele ya Mwenezi Makonda, Raia apigilia msumari madai ya CDF. Amtuhumu Kigogo wa Uhamiaji kuendesha genge la biashara haramu ya binadamu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,742
Rukwa.

Raia mwema amepigilia msumari kuhusu madai ya CDF ya wahamiaji haramu kuingia Nchini Kwa kumtuhumu Kigogo wa idara ya uhamiaji Mkoa wa Rukwa ambae amekuwa akiratibu na Kuendesha gange la kusafirisha raia haramu Kwa kushirikiana na Vigogo wengine hasa kutoka Somalia.

Raia huyo amesema licha ya taarifa kumfikia Mkuu wa Mkoa lakini mtu huyo hachukuliwi hatua badala yake amekuwa akimnyanyasa Kwa kumuambia sio raia wa Tanznaia wakati Yuko Sumbawanga Toka enzi za Mwalimu Nyerere.

View: https://youtu.be/tp9viAB3r6k?si=3ighmzZ7K8e_laTz

My Take
CDF hakukurupuka

View: https://www.instagram.com/reel/C2-HKF2KiH2/?igsh=MXFrenJ6aTZnNnNxMg==
 
Back
Top Bottom