Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA kuweni wepesi wa kunusa na kujua ishu rahisi ambazo ni kero kwa wananchi na mzitumie ipasavyo ku - instigate hasira kwa wananchi ili waichukie na waingushe serikali hii haramu kupitia...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Bila shaka tasnia ya sheria sasa itakaa kwenye mstari, Mwanasheria Mkuu hataki ubabaishaji. Sasa huu ndio utawala wa sheria tunaoutaka.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kupitia Ukurasa wake wa X Waziri Bashe amefafanua kauli yake kulingana na alivyonukuriwa jana na vyombo vya habari Waziri amesema Mwezi unaokuja kutakuwa na Sukari ya kutosha Jumaa Mubarak 😀
0 Reactions
9 Replies
974 Views
Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni safari ya pili sasa Cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinatumika ktk Baraza la Mawaziri. Mara ya kwanza ilikuwa wakati wa Utawala wa Awamu ya PILI Rais Ally Hassani Mwinyi alimteua Hayati Augustino...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimependa Hii Falsafa ya Katibu mkuu wa CCM Kwamba anapenda Wasema kweli, anapenda Wachapakazi na anapenda Wazalendo Kwa kifupi Hii inaitwa Kweli, Kazi na Uzalendo ( KKU) Kwenye Kweli yupo Mungu...
3 Reactions
17 Replies
917 Views
Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua. Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam, Shalom!! SHERIA zetu ziko wazi kuwa, miaka sitini ni umri wa kustaafu, inaaminika baada ya miaka 60, uwezo na nguvu za kufanya KAZI Huwa unakuwa umefika KIKOMO na kuanza kupungua...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora amewakumbusha viongozi na CCM -Halmashauri ya Chalinze kuwapa kipaumbele Mabalozi katika kazi za kila...
1 Reactions
8 Replies
743 Views
Natoa ombi kwa Watendaji wote kwani Serikali ikiharibu inasomeka CCM imeharibu 2025 kutakuwa na Uchaguzi halisi hivyo ongezeni jitihada hawa Watanzania Siyo wajinga tena Jumaa Mubarak 😀
1 Reactions
16 Replies
656 Views
Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Imetokea kasumba mbovu ambayo mwisho wa siku ninaiita cheap politics na divide and rule..., Waziri amekuwa akijinasibu mtetezi wa wakulima kwamba hawapangii Bei na kuonyesha kana kwamba walaji ni...
5 Reactions
77 Replies
5K Views
Pumzika Lowassa Pumzika, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza, Pumzika!. Toka kumetokea msiba wa Edward Lowassa hapa Jamiiforums tukimuita kwa jina maarufu la Mwamba wa Kaskazini, ile Jumamosi...
27 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuelekea Februari 27 kwenye maandamano ya Arusha, tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii. Kuipigania nchi ni jukumu takatifu, kwa hakika tuwape pongezi mashujaa wetu...
3 Reactions
9 Replies
728 Views
Sasa ni dhahiri kuwa suala la umeme linakitweza na kukiaibisha chama tawala-CCM. Pia, umeme unaitweza na kuiaibisha Serikali iliyopo madarakani. Umeme unakatikakatika. Umeme haueleweki. Umeme...
0 Reactions
1 Replies
551 Views
Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji, sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Askofu Bagonza amewahi kuandika Makala yake ya kifalsafa juu ya Haki ya binadamu kulia, CCM wamekiri wenyewe kuwa walimuonea Lowassa na kuumiza roho na mwili hadi Ikafikia kumkata kwa kashfa ya...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Siasa za CCM ndio zinapelekea tatizo la Umeme nchini lisiishe kwani maamuzi makubwa na ya kitaalamu yanaamriwa kisasa, na mpaka sasa CCM hawajawahi na hawatawahi kumaliza kabisa tatizo la umeme...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na...
31 Reactions
111 Replies
12K Views
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema Serikali imebana Matumizi Viongozi hawaishi Maisha ya Anasa Magari yamebaki kwa viongozi wa juu tu. "Watumishi wengine wote tunatumia Magari yetu kama...
12 Reactions
67 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…