Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu aliahidi vitu vingi na akasema yeye amekuja na nguzo nne zitakazomuongoza katika uongozi wake ambazo ni Maridhino, Ustahimilivu, Mabadiliko pia Kujenga...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kimfumo TAMISEMI ndio inagusa Wizara karibia zote kisera na kiutendaji hivyo Naibu Waziri Mkuu angetoka pale ingekuwa poa zaidi. Kwanini Nishati? Na kwanini Cheo kimeongezeka na Waziri wa awali...
0 Reactions
8 Replies
763 Views
Mimi binafsi kama raia wa kawaida nilitarajia kusikia watetezi wa Rais Samia wakijibu hoja za Lissu, Mwambukusi na wengineo kwa hoja zenye mantiki. Mfano, kwa nini IGA ni mkatataba tayari kama...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakenya wanajua sana mambo ya Votting block, kura zinapigwa kwa Block, ikiamuliwa jamani sisi tumpee kura zetu fulani kweli anapewa kwa asilimia nyingi sana. Wakenya wana kitu wanaita Votting...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake. Japo ukisema Tanganyika imeuzwa...
4 Reactions
59 Replies
3K Views
Hivi ndivyo ilivyo , je kuna haja yoyote ya kuendelea kuamini Sungusia na wenzake ? Mbona wakati wa viongozi waliopita mambo hayakuwa hivi ?
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Mbowe amewahi kuwa Mbunge na ni mfanyabiashara mkubwa. Chadema ni chama Cha siasa Kwa pesa za Mbowe. Na huko Chadema nawafahamu wagombea wengi sana wa ubunge na Wengine waliwahi kuwa Wabunge ila...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii...
30 Reactions
195 Replies
7K Views
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania. Ninachotaka Nape...
34 Reactions
117 Replies
10K Views
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba. Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
Naam! Hamkani upepo si shwari ndani bahari ya Hindi. Nahodha mkuu wa Jahazi tulilopandia njiani kutokea mji wa 2020, amejaa jazba ghafla na jahazi linaendeshwa kwa hasira zaidi kuliko Busara. Pia...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanaweza Kuita majina kati ya haya 1. Coalition Against DP World Party of Tanzania 2. Hustlers Movement for Natural Resources 3. Vuguvugu la Maendelea na Mabadiliko Tanzania. Mwenyekiti-Dr W...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Chadema mh Suzan Kiwanga amewaambia Wananchi wa Bunda kwamba kwa Wassira sasa yatosha anapaswa apumzishwe tena Makumbusho Aidha Kiwanga amesema Wanawake wameumbwa na...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Assignment ya kwanza kwako kubwa bwana Waziri January Makamba ni kutafsiri diplomasia y Uchumi Kwa vitendo. Wenzetu Kenya hapo wameweza wanatafutia Vijana wao ma jobless fursa za Ajira mfano...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Tumesema mara nyingi hapa kwamba hao DP world ni Wagalatia lakini Ndugu zetu akina The Boss na The Big Show hawakutuelewa kabisa Mimi siyo mwislamu lakini nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ile IGA...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima sana wanajamvi, Nayatazama mabadiliko madogo baraza la mawaziri kama sehemu ya mkakati wa kumwinua January Makamba kuelekea kileleni (IKULU) baada ya Wizara ya Nishati kumshinda...
36 Reactions
88 Replies
9K Views
Naomba kutumia jukwaa hili kuwaomba viongozi wa dini zote kuacha kabisa kulumbana kwasababu za mambo ya kisiasa. Badala yake viongozi hawa waungane kwa pamoja na kutoa tamko la kuliombea TAIFA...
0 Reactions
1 Replies
411 Views
Dar port's $357m upgrade bears fruit, topples Mombasa from perch Sunday May 28 2023 The East Africa Kenya and Tanzania have been competing as the preferred entry point by Uganda, Rwanda, Burundi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Binafis siungani na suala la viongozi wetu wa kisiasa kuwa pia wafanya biashara. Nakumbuka 2021 nikiwa ofisinya mkuu wa Wilaya ya Magu nilifanikiwa kupata taarifa yakuwa MH Waziri Bashe Kwa...
5 Reactions
3 Replies
832 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…