Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naandika nikiwa na masikitiko kwa kiwango cha wanasiasa wetu, hata wae wanaoingia Bungeni. Kiwango cha wledi wa kujenga hoja na kutetea ni kama hakipo. Tulikuwa na wanasisa mahiri kama Mwalimu...
2 Reactions
5 Replies
491 Views
Kati ya mambo ambayo hufanya jeshi la polisi na polisi wa wetu wa Tanzania kudharaulika na kuonekana limejaza watu wasio na weledi au weledi mdogo, ni pale linapofanya mambo kinyume cha sheria, au...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
-BABA MZAZI WA JAJI WA MAHAKAMA KUU ALIYEHAMIA MSOMERA AFUNGUKA Mzee Isaya Laltaika baba mzazi wa Jaji wa mahakama kuu DKT. Eliamani Isaya Laltaika ambaye ni pacha wa mhadhiri mwandamizi wa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Hata Mimi najiuliza ni nani aliyependekeza eti mikataba yote ya kuanzia thamani ya Bilioni 50 ipelekwe kujadiliwa Bungeni. Hilo pendekezo ni ujinga mwingine,badala ya kuongeza Ufanisi na...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Bila Chadema maisha ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (ccm) ni ya tabu mno, Ili Ccm Iwalipe fadhila ama Fedha, au cheo Vijana hawa (machawa) ni lazima wawe na Hoja za kuikejeli na kuitukana Chadema...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili...
11 Reactions
23 Replies
5K Views
Akizungumza kupitia mjadala kwenye mtandao wa kijamii, Tundu Lissu amesema CCM wamekataa maridhiano, kwasababu CHADEMA ilipeleka mapendekezo mazuri juu ya kila kitu kinachohitajika kufanyika ili...
15 Reactions
62 Replies
7K Views
Baada ya ufafanuzi wa Waziri wa Fedha kuhusu namna mitumba hiyo itavyokuwa inaingizwa nchini, haya ndio baadhi ya maswali ninalojiuliza na mpaka sasa sina majibu. Je, wewe hapo uliopo, unaamini...
4 Reactions
16 Replies
903 Views
Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama, ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa...
9 Reactions
89 Replies
4K Views
Umofia kwenu. Mengi yamesemwa kuhusiana na hili sakata la upungufu wa dola nchini. Kimsingi Dola ya Marekani ndiyo inatumika kama fedha ya kununua bidhaa za kimataifa. Mojawapo ya bidhaa hizo ni...
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Mabadiliko yaliyofanywa na Rais Samia kwenye baraza la Mawaziri.Ni kiini macho. Uhalisia ni kwamba Rais Samia alikusudia na anaendelea kujisimika na kujiimarisha kwa mbinu zozote zile ili...
25 Reactions
51 Replies
5K Views
Leo ni mwaka wa 6 toka Tundu Lissu apigwe risasi mchana kweupe jiji dodoma. Upelelezi wa tukio hilo bado haujulikani licha ya Tundu Lissu kurejea nchi kama jeshi la polisi lilivyosema...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
0 Reactions
1 Replies
494 Views
Helkopta, magari jumlisha matamasha yaliyopewa majina kibao. Hiyo mwisho wa siku ni janja ya viongozi kuwafunika wanachama wao katika mfereji wa kutafuna pesa za chama. Wanatafuta pa kujifichia...
3 Reactions
70 Replies
2K Views
Mbatia ametoa rai kwa Rais samia /serikali kuwa isiwekeze shiling 125 billioni kuimarisha uovu, badala yake iziweke kwenye kuendeleza maisha ya watanzania. Ametoa mfano, zikiwekezwa Muhimbili...
18 Reactions
66 Replies
5K Views
Professor wa Uchumi Haji Semboja amekemea tabia ya kutosema ukweli Kwa watu wa Serikali Kwa kimdanganya Rais kuhusu Haki halisi ya uhaba wa Dola na upataiknaji wa mafuta Nchini. Swali; Waliosema...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Huyu kumbe niwakumpuuza. Inaonekana hayupo huru kwenye kazi yake maana Habari kubwa kama za mkutano wa ngorongoro Leo wa tundu lissu huwez kuacha kuripoti. Sio yeye tu ni asilimia tisini na tisa...
18 Reactions
33 Replies
3K Views
George Michael Uledi. September 5, 2023. Miaka mitatu pekee ya kufanya active politics Nchini imetosha kumuibua mashine ya Mufindi Kusini Mhe. David Mwakiposa Kihenzile kwenye kundi la Vijana...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater. Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…