Miaka 3 ya David Kihenzile Aungana na Timu ya Ushindi ya Rais Samia Kuelekea 2025

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942
George Michael Uledi.
September 5, 2023.

Miaka mitatu pekee ya kufanya active politics Nchini imetosha kumuibua mashine ya Mufindi Kusini Mhe. David Mwakiposa Kihenzile kwenye kundi la Vijana wengi ndani ya Siasa za Tanzania hivyo kupelekea kujumuishwa kwenye timu ya kuutafuta ushindi wa CCM na ushindi wa Mama Samia Suluhu Hassan mwaka 2024 na 2025.

Mhe. David Kihenzile anaweza kukupa midundo tofauti kwa wakati mmoja tena kwa ueledi na ubora wa viwango vya juu kabisa! David kijana mtulivu asiye na papara, Msomi na mbobezi kwenye Mikakati ni Multi- Purpose ambaye anaweza kutumika maeneo tofauti na akakupa matokeo zaidi unayotarajia kama Mamlaka ya Uteuzi!

Rais huyo wa Red Cross Tanzania akifanya makubwa na kuweza kuifanya Red Cross Tanzania kuwa miongoni mwa Taasisi zenye heshima kubwa kwa sasa kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwake.Kama unahitaji kuthibitisha hiki nikisemacho nenda kawaulize wadau wa Red Cross Nchi nzima!

Baada ya kuingia Bungeni mwaka 2020 kupitia tiketi ya CCM akitokea Jimbo la Mufindi Kusini kwa Ushindi wa kura za 97.3% akiwabwaga wagombea wenza wa vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO Kihenzile akiwa ni mmoja wa Wabunge wawili waliopata kura nyingi kupita kiasi kwenye Ukanda wa Nyanda za Juu kusini, ndani ya miaka mitatu tayari ameshaacha alama kwa wananchi ndani ya Jimbo lake kwa kuanzisha miradi kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na kuvutia wadau kuunga Mkono wa Mradi wa One Family One Cattle ambapo Wananchi wanagawiwa Ng'ombe bure, ameweza Kuvutia ujenzi wa kiwanda cha Parachichi, ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA na Ujenzi wa zaidi ya Shule 10 Mpya.

Aidha Kwenye Sekta ya Maji ambako alikuta vijiji 5 tu vina Maji kati ya Vijiii 71, ameweza peleka miradi ya maji kwenye Vijiji 64 na kubakia na vijiji 2 tu. Ni kihenzile mpaza sauti Mkuu wa kero namba moja ya Barabara za lami na hatimaye sasa barabara ya Mafinga Mgololo na ile ya Nyololo Mtwango zimeidhinishwa kujengwa kiwango cha lami. Hata Sekta ya Afya hakuishia tu kuhakikisha Ujenzi Vituo vya Afya vya Mgololo, Itandula, Mtwango na Mninga vinapitishiwa Fedha bali alimwaga msaada wa vifaa vya zaidi 1.5b Tshs kwenye Hospitali mpya ya Wilaya na sasa inatibu wana Mufindi na viunga vyake. David ni muumini wa vitu na watu.

Katika kipindi chake cha kwanza tu cha Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (2020-2023) tayari Bunge lilimuamini na kuweza kumchagua kuwa mwenyekiti wa kamati Nyeti ya ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kwa awamu zote mbili.

Ndani ya miezi sita tangu aingie Bungeni, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likamwamini tena katika nafasi kubwa zaidi na kumchagua kuwa Mwenyekiti wa Bunge cheo ambazo kimewahi kushikwa na Naibu Spika wa sasa Mh Azan Zungu na Spika Mstaafu Job Ndugai. Hii ni nafasi ambayo sio rahisi sana kuipata kwani inakupa nafasi ya kuendesha vikao mbalimbali vya Bunge Dodoma na Viongozi wengi wa Bunge hundaliwa hapo.

Sio rahisi na sio mazoea kabisa kwa Mbunge wa kipindi cha kwanza tena kuchaguliwa katika nafasi hiyo nyeti ya kuliongoza Bunge!Mh Kihenzile anaingia kwenye rekodi kubwa mbili katika historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Moja anakuwa ndiye Kiongozi mdogo kwa umri zaidi kuwahi kuchaguliwa na kuongoza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama Mwenyekiti wa Bunge, tangia Uhuru wa Tanzania akiwa chini ya umri wa miaka arobaini!

Pili, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile anakuwa Kijana wa kwanza kuwahi kushika nafasi ya juu ndani kwenye Redcross kuwahi tokea tangia kuanzishwa kwake.

MAMA AMNYAKUA TOKA KWA SPIKA DKT TULIA NA KUMUINGIZA KATIKA TIMU YAKE YA USHINDI YA MWAKA 2025.

Ukimskiliza David anavyosimama na kutoa hutoba zake zilizojaa Facts na Data lukuki utakubaliana na Mimi kwamba,Mh Rais Samia ni Master na mvumbuzi, sio rahisi sana kumjua na kutambua kipaji chake David halisi mpaka uwe mfuatiliaji kwa sababu sio mtu wa media sana. Rais Samia, ameibua kichwa hiki kutoka Nyanda za Juu Kusini kikaungane na magwiji walioko uwanjani kama wakina Mh Dotto Biteko, MH Husein Bashe, MH Mwigulu Nchemba, Mchangerwa, , David Silinde, MH January Makamba, Mhe. Innocent Bashungwa, Mhe. Jenista Mhagama, na wengineo wengi ili kuhakikisha ushindi wa Mhe. Rais Samia 2025 unakuwa wa kimbunga.

Hapana shaka kwamba Uteuzi wa Mh Kihenzile unampa Mh RAIS Samia Suluhu Hassan timu nzuri zaidi ya kuutafuta ushindi wa CCM wa Mwaka 2024 na 2025 kupitia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM! Kihenzile "Ameshaprove" kote alikopita kuwa ni mtu wa matokeo kwa jukumu ambalo anapewa!Sina shaka kwamba sekta ya Uchukuzi imepata mtu sahihi hasa wakati tukielekea katika maono mapana ya uwekezaji ndani ya Sekta nzima kwa sasa!

Mara tu alipochaguliwa nafasi ya Ubunge Mwaka 2020, niliandika Makala kumwelezea kuhusu uwezo wake katika Uongozi wenye matokeo, na leo nmeaona niandike tena kuthibitisha kile ambacho niliona kwa Naibu Waziri Uchukuzi, David Mwakiposa Kihenzile kwa ajili ya Tanzania.

Uwezo wa mtu haujifichi kwani lilikuwa suala la muda tu kwa kijana huyu kuja kuingia kwenye timu ya ushindi ya Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan na sasa imekuwa!Taifa linapaswa kuwalea kuwatunza na kuwapa nafasi Vijana wanyenyekevu, wasiojikweza wala maringo wa aina ya Mhe. David Kihenzile kwa maslahi mapana ya Tanzania ya kesho!

Mwandishi ni Ofisa wa zamani, Idara ya Habari - Maelezo, Ofisa Cadet wa zamani Chuo cha Maofisa wa Jeshi Monduli Arusha, Mhadhiri Msaidizi wa zamani Vyuo Vikuu vya SAUT na Tumaini.

+255692473785.

WhatsApp Image 2023-09-07 at 00.23.52.jpeg
 
S

View attachment 2741523
Siku aseme tu nchi inauzwa mtashangaa,kama ya ndugai
 
Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine
 
Kufungamanisha na mambo ya kusaka uongozi sio sawa. Ila ukisema ni kuboresha utendaji wa serikali na kuketa tija kwa wananchi inakuwa poa zaidi.

Jamaa hakika anapepo yake, ni moja ya vijana wasio kuwa na tamaa za hivyo. Ni mwanamkakati chipukizi anayekupa matokeo katika nafasi anayoitumikia.

Akiendelea kuwa mwaminifu kwa nchi na wananchi wake, hakika atafika mbali sana kiuongozi. Aendelee kuzichanga karata zake vema.
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
George Michael Uledi.
September 5, 2023.

Miaka mitatu pekee ya kufanya active politics Nchini imetosha kumuibua mashine ya Mufindi Kusini Mhe. David Mwakiposa Kihenzile kwenye kundi la Vijana wengi ndani ya Siasa za Tanzania hivyo kupelekea kujumuishwa kwenye timu ya kuutafuta ushindi wa CCM na ushindi wa Mama Samia Suluhu Hassan mwaka 2024 na 2025.

Mhe. David Kihenzile anaweza kukupa midundo tofauti kwa wakati mmoja tena kwa ueledi na ubora wa viwango vya juu kabisa! David kijana mtulivu asiye na papara, Msomi na mbobezi kwenye Mikakati ni Multi- Purpose ambaye anaweza kutumika maeneo tofauti na akakupa matokeo zaidi unayotarajia kama Mamlaka ya Uteuzi!

Rais huyo wa Red Cross Tanzania akifanya makubwa na kuweza kuifanya Red Cross Tanzania kuwa miongoni mwa Taasisi zenye heshima kubwa kwa sasa kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwake.Kama unahitaji kuthibitisha hiki nikisemacho nenda kawaulize wadau wa Red Cross Nchi nzima!

Baada ya kuingia Bungeni mwaka 2020 kupitia tiketi ya CCM akitokea Jimbo la Mufindi Kusini kwa Ushindi wa kura za 97.3% akiwabwaga wagombea wenza wa vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO Kihenzile akiwa ni mmoja wa Wabunge wawili waliopata kura nyingi kupita kiasi kwenye Ukanda wa Nyanda za Juu kusini, ndani ya miaka mitatu tayari ameshaacha alama kwa wananchi ndani ya Jimbo lake kwa kuanzisha miradi kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na kuvutia wadau kuunga Mkono wa Mradi wa One Family One Cattle ambapo Wananchi wanagawiwa Ng'ombe bure, ameweza Kuvutia ujenzi wa kiwanda cha Parachichi, ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA na Ujenzi wa zaidi ya Shule 10 Mpya.

Aidha Kwenye Sekta ya Maji ambako alikuta vijiji 5 tu vina Maji kati ya Vijiii 71, ameweza peleka miradi ya maji kwenye Vijiji 64 na kubakia na vijiji 2 tu. Ni kihenzile mpaza sauti Mkuu wa kero namba moja ya Barabara za lami na hatimaye sasa barabara ya Mafinga Mgololo na ile ya Nyololo Mtwango zimeidhinishwa kujengwa kiwango cha lami. Hata Sekta ya Afya hakuishia tu kuhakikisha Ujenzi Vituo vya Afya vya Mgololo, Itandula, Mtwango na Mninga vinapitishiwa Fedha bali alimwaga msaada wa vifaa vya zaidi 1.5b Tshs kwenye Hospitali mpya ya Wilaya na sasa inatibu wana Mufindi na viunga vyake. David ni muumini wa vitu na watu.

Katika kipindi chake cha kwanza tu cha Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (2020-2023) tayari Bunge lilimuamini na kuweza kumchagua kuwa mwenyekiti wa kamati Nyeti ya ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kwa awamu zote mbili.

Ndani ya miezi sita tangu aingie Bungeni, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likamwamini tena katika nafasi kubwa zaidi na kumchagua kuwa Mwenyekiti wa Bunge cheo ambazo kimewahi kushikwa na Naibu Spika wa sasa Mh Azan Zungu na Spika Mstaafu Job Ndugai. Hii ni nafasi ambayo sio rahisi sana kuipata kwani inakupa nafasi ya kuendesha vikao mbalimbali vya Bunge Dodoma na Viongozi wengi wa Bunge hundaliwa hapo.

Sio rahisi na sio mazoea kabisa kwa Mbunge wa kipindi cha kwanza tena kuchaguliwa katika nafasi hiyo nyeti ya kuliongoza Bunge!Mh Kihenzile anaingia kwenye rekodi kubwa mbili katika historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Moja anakuwa ndiye Kiongozi mdogo kwa umri zaidi kuwahi kuchaguliwa na kuongoza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama Mwenyekiti wa Bunge, tangia Uhuru wa Tanzania akiwa chini ya umri wa miaka arobaini!

Pili, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile anakuwa Kijana wa kwanza kuwahi kushika nafasi ya juu ndani kwenye Redcross kuwahi tokea tangia kuanzishwa kwake.

MAMA AMNYAKUA TOKA KWA SPIKA DKT TULIA NA KUMUINGIZA KATIKA TIMU YAKE YA USHINDI YA MWAKA 2025.

Ukimskiliza David anavyosimama na kutoa hutoba zake zilizojaa Facts na Data lukuki utakubaliana na Mimi kwamba,Mh Rais Samia ni Master na mvumbuzi, sio rahisi sana kumjua na kutambua kipaji chake David halisi mpaka uwe mfuatiliaji kwa sababu sio mtu wa media sana. Rais Samia, ameibua kichwa hiki kutoka Nyanda za Juu Kusini kikaungane na magwiji walioko uwanjani kama wakina Mh Dotto Biteko, MH Husein Bashe, MH Mwigulu Nchemba, Mchangerwa, , David Silinde, MH January Makamba, Mhe. Innocent Bashungwa, Mhe. Jenista Mhagama, na wengineo wengi ili kuhakikisha ushindi wa Mhe. Rais Samia 2025 unakuwa wa kimbunga.

Hapana shaka kwamba Uteuzi wa Mh Kihenzile unampa Mh RAIS Samia Suluhu Hassan timu nzuri zaidi ya kuutafuta ushindi wa CCM wa Mwaka 2024 na 2025 kupitia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM! Kihenzile "Ameshaprove" kote alikopita kuwa ni mtu wa matokeo kwa jukumu ambalo anapewa!Sina shaka kwamba sekta ya Uchukuzi imepata mtu sahihi hasa wakati tukielekea katika maono mapana ya uwekezaji ndani ya Sekta nzima kwa sasa!

Mara tu alipochaguliwa nafasi ya Ubunge Mwaka 2020, niliandika Makala kumwelezea kuhusu uwezo wake katika Uongozi wenye matokeo, na leo nmeaona niandike tena kuthibitisha kile ambacho niliona kwa Naibu Waziri Uchukuzi, David Mwakiposa Kihenzile kwa ajili ya Tanzania.

Uwezo wa mtu haujifichi kwani lilikuwa suala la muda tu kwa kijana huyu kuja kuingia kwenye timu ya ushindi ya Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan na sasa imekuwa!Taifa linapaswa kuwalea kuwatunza na kuwapa nafasi Vijana wanyenyekevu, wasiojikweza wala maringo wa aina ya Mhe. David Kihenzile kwa maslahi mapana ya Tanzania ya kesho!

Mwandishi ni Ofisa wa zamani, Idara ya Habari - Maelezo, Ofisa Cadet wa zamani Chuo cha Maofisa wa Jeshi Monduli Arusha, Mhadhiri Msaidizi wa zamani Vyuo Vikuu vya SAUT na Tumaini.

+255692473785.

View attachment 2741523
Sina hakika sana kama Watanzania Huwa wanamchagua mtu Kwa kuangalia rekodi yake ya utendaji na kazi.

Wengi wao ni mihemko au ushabiki au kusema nampenda mtu bila sababu za msingi.
 
Haya mambo ya kujiandika mwenyewe, kujisifia mwenyewe kwenye andiko lako, alafu unajipiga picha mwenyewe, unajipa sifa za uongo uongo mwingii mwenyewe ni ujinga mkubwa sana wa akili, most arrogant and stupid people do this, such a waste.. shit..!!
 
Safari ya SSH inaweza kuishia 2025.

Kama wanaume wa ccm wanaipenda nchi yao, hawawezi kumuacha aendelee kuharibu nchi!! Ni dhahiri sponsors wake toka Uarabuni watatumia fedha nyingi ili aendelee ; lakini kitu cha kujiulizau kwanini watumie hizo fecha nyingi hivyo kwa faida ya nani kama si ya hao wafadhili wake anaowauzia nchi?
 
Nisiwe muumini sana wa siasa hizi za uchawa uchawa hazijawahi kuwa na matokeo mazuri na ni fedheha kwa umahiri wetu vijana wa Kitanzania.

Lakini kiukweli kabisa, Huyu Jamaa Kihenzile ni kijana ambaye kama Taifa tunapaswa kumtegemea kwa umahiri wake na uwezo wake kiakili na mikakati.

Binafsi natumaini hatobadilika na tutaendelea kumuona kwenye ngazi za juu zaidi kitaifa.
 
Back
Top Bottom