Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana.

Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Boniface Semroki kwa niaba ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Yohane Masara.

Hatua za kukamilisha taratibu za dhamana zinaendelea ambapo Madeleka anawakilishwa na jopo la mawajili watano wakiongozwa na Wakili, Boniface Mwabukusi.

Wakili Madeleka anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 40/2020, anashikiliwa katika mahabusu ya Gereza Kuu la Kisongo jijini Arusha tangu Julai 17,2023.

Akizungumza kwa niaba ya mawakili hao Wakili, Boniface Mwabukusi ameishukuru mahakama kwa kumpa haki mteja wao huku akimuomba DDP kuheshimu haki ya Madeleka.

Chanzo: Mwananchi

Pia soma - Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP
 
Afadhali
20230908_040257.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamata tia ndani achilia

Hizi zote mbinu za kufifisha ishu ya Bandari. Tunataka serikali isikilize ssuti zetu. Hatutaki bandari zetu ziende

Karibu uraiani mkuu peter Madeleka
 
Ikumbikwe kuwa, Kamanda Peter Madeleka alikamatwa baada ya kukosoa mkataba fake na BATILI wa Bandari.

Sasa ni Rasmi team wazalendo imekamilika kuongoza harakati za kuikomboa nchi.

1. Dr Wilbroad Slaa.

2. Kamanda Mdude Nyangali.

3. Kamanda na Nabii Mwabukusi.

4. Nabii Peter Madeleka.

Karibu tena uraiani Nabii na Kamanda Peter Madeleka.

Familia yetu Ina matatizo, Umeme hakuna, Dollar hakuna, Maji hakuna, mfumuko wa Bei bidhaa haukamatiki!!

Kale la wimbi la kishindo Cha WAKOMA 4 kilichowakimbiza Washami, kalikoimbwa na SDA choir kanahusika hapa.
 
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana.

Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Boniface Semroki kwa niaba ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Yohane Masara.

Hatua za kukamilisha taratibu za dhamana zinaendelea ambapo Madeleka anawakilishwa na jopo la mawajili watano wakiongozwa na Wakili, Boniface Mwabukusi.

Wakili Madeleka anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 40/2020, anashikiliwa katika mahabusu ya Gereza Kuu la Kisongo jijini Arusha tangu Julai 17,2023.

Akizungumza kwa niaba ya mawakili hao Wakili, Boniface Mwabukusi ameishukuru mahakama kwa kumpa haki mteja wao huku akimuomba DDP kuheshimu haki ya Madeleka.

Chanzo: Mwananchi

Pia soma - Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP
DP WORLD oyee
 
Back
Top Bottom