PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 879
- 956
-BABA MZAZI WA JAJI WA MAHAKAMA KUU ALIYEHAMIA MSOMERA AFUNGUKA
Mzee Isaya Laltaika baba mzazi wa Jaji wa mahakama kuu DKT. Eliamani Isaya Laltaika ambaye ni pacha wa mhadhiri mwandamizi wa kitivo cha sheria chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichopo Arusha anaeleza anavyofurahia maisha mapya ya yeye na familia yake kuhama Kijijini Nainokanoka Ngorongoro, kuhamia Msomera ambapo amepewa Nyumba iliyopo katika eneo la hekari mbili na nusu, Shamba hekari 5 kwa ajili ya kilimo
“Faida niliyopata kuja Msomera. Kwanza ni Ardhi, manake kule (Ngorongoro) tulikuwa hatumiliki Ardhi, kwa hiyo sasa hivi nina Ardhi ya kwangu mwenyewe Hekari mbili na nusu na hekari tano kule ya kulima”. Anasema Laltaika
“Sio Nyumba ndio sababu, ni Ardhi ndio kubwa kabisa na baada ya kuja hapa tumeweza kupata miundombinu mingi tu, maji, barabara, hospitali umeme. Nashukuru kwamba tulikuwa kifungo baridi sasa tumefunguliwa
View: https://youtube.com/watch?v=i4r1Us63BSY&si=iDA_WoD22mvDDNYD