Wanasiasa wa sasa hivi hawana weledi wa kujenga hoja zinazotetea Taifa na wananchi

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172
Naandika nikiwa na masikitiko kwa kiwango cha wanasiasa wetu, hata wae wanaoingia Bungeni.

Kiwango cha wledi wa kujenga hoja na kutetea ni kama hakipo.

Tulikuwa na wanasisa mahiri kama Mwalimu, Kasanga Tumbo, Oscar Kmbona. Rashidi Mfaume Kawawa, Ole Sokoine , Njelu Kasaka, Christopher Mtikila na wengine wengi.
Watu walioweza kujenga hoja, wakaiongeea vizuri kwa kupanga mikakati ya utekelezaji na hoja zikaungwa mkono na jamii kwa kielewa hoja.

Sasa hivi tumebaki na wanasiasa wanaoweza kuunga mkono hoja za Party Caucauses tu, tena bia kuzijua hoja zenyewe.
Mfano wa hovyo tuliouona ni wa mbunge wa Tarime hici karibuni bungeni akiunga mkono chama badala ya hoja.
Kwa wanachama wenzangu wa CCM, wajue chama ni usimamizi wa utekelezaji wa hoja za msingi zenye mashiko.

(naandika nikiwa nakimbilia daladala)
 
Una hoja usikilizwe.

Ila Oscar Kambona 🙌🙌🙌🙌.
 
Yap, wanasiasa wako busy kuplan watakavyo endelea kutupiga matukio ya kutisha mda WA kujenga Hoja watatoa wapi .

Nowadays hawali Kwa urefu wa kamba sababu kamba walishazikata 🥴
 
Kweli, wanasiasa sasa hivi ni kwa matumbo yao tu, si kwa ajili ya ajenda za wananchi na maendeleo endelevu ya Taifa.
 
Back
Top Bottom