Bila Chadema Maisha ya Vijana wa CCM (Machawa)ni ya Tabu mno.

Hebu ona....

Mwenyekiti wa milele akalamba mäbilioni ya "kuibadilisha ile gia angani"....

Ilimuudhi Dr.Slaa na akajiindokea
 
Bila Chadema maisha ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (ccm) ni ya tabu mno, Ili Ccm Iwalipe fadhila ama Fedha, au cheo Vijana hawa (machawa) ni lazima wawe na Hoja za kuikejeli na kuitukana Chadema pamoja na Viongozi Wake Waandamizi.
Juu propaganda uchwara za dalali. Chini hali halisi ilivyokua Ngorongoro leo, wananchi wakimsikiliza Lissu. Ruge alisema OGOPA MUNGU na TEKNOLOJIA.!
FB_IMG_1694217762382.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom