Profesa Semboja: Rais haambiwi Ukweli kuhusu Uhaba wa Dola Nchini

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,812
Professor wa Uchumi Haji Semboja amekemea tabia ya kutosema ukweli Kwa watu wa Serikali Kwa kimdanganya Rais kuhusu Haki halisi ya uhaba wa Dola na upataiknaji wa mafuta Nchini.

Swali;
Waliosema Dola zipo za kutosha wakati prof.anasema amekosoa hata Dola 1,000 banki wanamsaidia Rais? Je tuamini majibu ya Serikali au findings za Professor?

View: https://www.instagram.com/reel/Cw7BrFztH-a/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

---
MTAALAMU nguli wa masuala ya uchumi, Profesa Haji Semboja, amesema hali anayoiona katika mwenendo wa mafuta nchini ni kutokana na wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan hawamwambii ukweli.

Prof. Semboja alisema hayo wakati akitoa maoni yake kuhusu kupanda kwa bei za mafuta nchini na uhaba wa dola ya Marekani ambayo hutumika katika kununua bidhaa hiyo. Pia wadau mbalimbali, wakiwamo wachumi na waagizaji mafuta, walitoa maoni yao kuhusu jambo hilo.

Alisema Watanzania kuna haja ya kufika sehemu na kueleza ukweli kuhusu uhalisia wa upatikanaji wa dola nchini kwa kuwa nia ya Rais Samia ya kuweka nchi katika nafasi nzuri ni njema. “Hata nikisema tufanye nini katika bei ya mafuta haiwezekani nitakuwa mchawi tatizo lenyewe limegubikwa ‘systems’. Mifumo ya serikali yenyewe kwa sasa haifanyi kazi vizuri kuisaidia sekta binafsi.

“Nimeenda benki, kupata dola ni shida. Kama serikali inasema kuna dola wakati mimi mwenyewe sijazipata, huyo anayasema zipo ni kwamba haipendi hii nchi. Nenda leo benki sema unataka Dola 1,000 au 2,000 huwezi kupata. Kwa nini tusiseme ukweli tuna matatizo ya dola tutafute kujua ni kwa nini? Tusidanganye kwamba zipo,” alisema.

Alisema anayedai dola zipo huenda hana elimu ya kujua maana ya dola ni kitu gani na kwamba ni vyema akatafuta wataalamu wa kumsaidai ili kutatua jambo hilo badala ya kueleza uongo.

Chanzo: Nipashe
 
Waliosema Dola zipo za kutosha wakati prof.anasema amekosoa hata Dola 1,000 banki wanamsaidia Rais? Je wafukuzwe?

Nchi hii inahitaji maamuzi magumu ilikuinusuru. Nasema tena maamuz magum jaman!
 
Profesa majalala. Anaongea ambacho kila mtu anakijua na hana suluhu. Hana tofauti na majimarefu. Prof yoyote atakayefungua mdomo aje na solution na siyo kiki uchwara.
Ndio na machadomo yapo hivyo,huyo ni mchumi hana sukuhu nae analia Lia 😁😁😁

Na machadomo nayo ni Yale Yale kulalamika bila jibu
 
Professor wa Uchumi Haji Semboja amekemea tabia ya kutosema ukweli Kwa watu wa Serikali Kwa kimdanganya Rais kuhusu Haki halisi ya uhaba wa Dola na upataiknaji wa mafuta Nchini.

Swali;
Waliosema Dola zipo za kutosha wakati prof.anasema amekosoa hata Dola 1,000 banki wanamsaidia Rais? Je tuamini majibu ya Serikali au findings za Professor?

View: https://www.instagram.com/reel/Cw7BrFztH-a/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

---
MTAALAMU nguli wa masuala ya uchumi, Profesa Haji Semboja, amesema hali anayoiona katika mwenendo wa mafuta nchini ni kutokana na wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan hawamwambii ukweli.

Prof. Semboja alisema hayo wakati akitoa maoni yake kuhusu kupanda kwa bei za mafuta nchini na uhaba wa dola ya Marekani ambayo hutumika katika kununua bidhaa hiyo. Pia wadau mbalimbali, wakiwamo wachumi na waagizaji mafuta, walitoa maoni yao kuhusu jambo hilo.

Alisema Watanzania kuna haja ya kufika sehemu na kueleza ukweli kuhusu uhalisia wa upatikanaji wa dola nchini kwa kuwa nia ya Rais Samia ya kuweka nchi katika nafasi nzuri ni njema. “Hata nikisema tufanye nini katika bei ya mafuta haiwezekani nitakuwa mchawi tatizo lenyewe limegubikwa ‘systems’. Mifumo ya serikali yenyewe kwa sasa haifanyi kazi vizuri kuisaidia sekta binafsi.

“Nimeenda benki, kupata dola ni shida. Kama serikali inasema kuna dola wakati mimi mwenyewe sijazipata, huyo anayasema zipo ni kwamba haipendi hii nchi. Nenda leo benki sema unataka Dola 1,000 au 2,000 huwezi kupata. Kwa nini tusiseme ukweli tuna matatizo ya dola tutafute kujua ni kwa nini? Tusidanganye kwamba zipo,” alisema.

Alisema anayedai dola zipo huenda hana elimu ya kujua maana ya dola ni kitu gani na kwamba ni vyema akatafuta wataalamu wa kumsaidai ili kutatua jambo hilo badala ya kueleza uongo.

Chanzo: Nipashe

Huyu PHD na 1st class wetu ni muhongo
 
“Nimeenda benki, kupata dola ni shida. Kama serikali inasema kuna dola wakati mimi mwenyewe sijazipata, huyo anayasema zipo ni kwamba haipendi hii nchi. Nenda leo benki sema unataka Dola 1,000 au 2,000 huwezi kupata. Kwa nini tusiseme ukweli tuna matatizo ya dola tutafute kujua ni kwa nini? Tusidanganye kwamba zipo,” alisema.

Alisema anayedai dola zipo huenda hana elimu ya kujua maana ya dola ni kitu gani na kwamba ni vyema akatafuta wataalamu wa kumsaidai ili kutatua jambo hilo badala ya kueleza uongo.
Yule mwenye bendera shingoni anasemaje
 
Post kama hizi wapambe wa bibi ushungi huwezi kukuta wakichangia

Sababu hata yeye hawezi kucomprehend vitu kama hivi.

Akili za boss = Akili za wapambe
 
Back
Top Bottom