Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametaka ifanyike tathmini ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta nchini. Ametoa kauli hiyo bungeni muda mfupi kabla ya kusitisha shughuli za bunge mchana leo Septemba 7...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Nchini Tanzania kwa sheria za sasa , shambani kwako kukikutwa madini , basi haraka sana madini hayo na shamba lako hilo vinageuzwa kuwa mali ya serikali , na baada ya muda mfupi wataletwa...
19 Reactions
69 Replies
4K Views
Mchanganuo. - Mikopo inayokopwa inaonekana ndio hutumika katika (Miradi mikubwa kama SGR, Rami, Nyerere Gorge na kulipa mikopo mingine. - Tozo za Mafuta na simu hufanya (miradi midogo Kama...
3 Reactions
9 Replies
751 Views
https://www.youtube.com/watch?v=J0ZiggITXdI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki chakula cha jioni na Afrika Food Prize - Gala Dinner alichowaandalia wageni...
2 Reactions
2 Replies
816 Views
Wakuu, Wagosi wa kaya wamo vibarazani huku jiji lao limetelekezwa kurejeshewa hadhi yake ya zamani. Reli waliboreshewa na hayati JPM mpaka stesheni ilikarabatiwa ikabaki kidogo treni ianze safari...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema. Ni...
29 Reactions
231 Replies
19K Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma, Tanzania. Kwa heshima kubwa, ninaleta pendekezo langu kuhusu njia mpya ya kushughulikia changamoto ya uhaba wa mafuta na uhaba wa dola nchini...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Na Kizitto Noya Mwananchi BAADHI ya wahadhiri wa Sayansi ya Siasa na Jamii katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wametabiri kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaelekea kufa, kwa kuwa dalili zimeanza...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Suala la Mafuta Spika acha unafiki hili suala ulishauri tangu Juni 2022 kwamba unda Tume kuchunguza ukakaaa kwa sababu ulitaka kumlinda Waziri Januari Makamba kwa manufaa binafsi unayoyajua wewe...
1 Reactions
1 Replies
659 Views
Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
0 Reactions
9 Replies
956 Views
Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani? Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia...
20 Reactions
79 Replies
8K Views
Leo asubuhi nikiwa katika pitapita yangu nikakutana na mjuba mmoja ambaye ni chawa wa mheshimiwa mmoja ninamfahamu kwa sehemu. Akaniuliza kwa kunitania, kaka una habari mjengoni kitu kimepanda...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 8, leo Septemba 7, 2023. https://www.youtube.com/live/soJPf67OkQM?si=PyIaBMuE5kEcrnq- Ratiba: Hati za kuwasilishwa Mezani...
4 Reactions
59 Replies
9K Views
Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lissu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili Tundu Antipas Lissu ni Muujiza Unaoishi Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza: Tanzania kama Taifa huru tunanufaika nini na uwekezaji unaofanyika Loliondo na Ngorongoro? Najiuliza swali hili kutokana na mateso na manyanyaso ambayo inaelezwa wenzetu...
13 Reactions
46 Replies
3K Views
Hakika ziara ya kanda ya ziwa ilikuwa na mafanikio makubwa. --- Leo, natoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote waliowezesha mikutano yetu ya Chadema katika Mikoa ya Simiyu, Shinyanga, na Mara...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanasiasa wamekubalu kudanganywa katika mustakabali mzima wa Uchumi na kufanya huko tunakoelekea kusitabirike Haitoshi tu kusema Bei ya Mafuta inapanda duniani na sisi hatuchukui Hatua zozote...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini". Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa...
8 Reactions
53 Replies
7K Views
Wakuu, Ni bandiko la pendekezo kwa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa mji mkongwe wa Mikindani, Mtwara una historia ya kuvutia sana kwa vizazi vya sasa na vijavyo napendekeza makao makuu ya...
0 Reactions
7 Replies
832 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Bakhti Lamine Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara ya Vijana na Michezo ya nchini Algeria...
1 Reactions
0 Replies
486 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…